Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kwa nini bei za kununulia na kuuzia vyinakuwa tofauti? Wenye upeo wa mambo ya BIASHARA nielezeni.Kuuliza si Ujinga.
ReplyDeleteHi Kaka Michuzi,
ReplyDeleteKumbe yawezekana. Tutashukuru ukiendelea kutoa taarifa hii angalau mara moja kwa week. Wengi tulioko nje tunapenda kutuma pesa nyumbani lakini tunapata shida kujua exchange rate kwa wakati huo.
ASANTE SANA.
Mdau - UK
plz naomba nifahamishwe hiyo euro dollar ndio pesa ya wapi
ReplyDelete?
Euro Dollar itakuwa ni pesa ya Ghuna ya Uajemi
ReplyDeleteWenye Bureau de change hii muwe makini na hela mnazozitangaza, sarafu ya Malaysia ni Malaysian Ringit sio dola ndio maana wasomaji wenzangu wanauliza euro dollor, hakuna kitu kama hicho, kuhusu tofauti ya bei ya kuuzia na kununua hiyo tofauti ndio faida ya wauzaji
ReplyDeleteMbigiri,
ReplyDeleteWenye hizi Bureau de Change wanapata faid tokana na hiyo tofauti ya bei ya kuuza na kununua. Kwa mfano, wewe unakuja ku change $ 100 mie nainunua kwa $ 131,000. Then mdau mwingine anakuja na anakuja na madafu na anataka kunuanua $ 100. Mie nachofanya namuuza kwa $ 1323. Faid yangu ni tofauti ya 1323-1310= 13. So mie kwa kila dollar nayouza natengeneza faida ya shiling 13.
Mfanyabiashara Mwandamizi
Michuz uwe unaweka Vibao vya exchange rates za benk kama NBC au CRDB. Hizo za mtaani mara nyngi hazisemi ukweli na wala pesa zenyewe ukiondoa USD WANAKUWA HAWANA. KWA MFANO rate ya pound ukiangalia za NBC ambapo ndiyo unaweza kuzipata kwa wingi, Buying rate Stg Pound 1 ni CHINI ya tshs 2050 wakati selling ni around Tshs 2200
ReplyDelete