President Barack Obama and First Lady Michelle Obama pose for a photo during a reception at the Metropolitan Museum in New York with H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, Wednesday, Sept. 23, 2009. (Official White House Photo by Lawrence Jackson)
President Barack Obama and First Lady Michelle Obama pose for a photo during a reception at the Metropolitan Museum in New York with H.E. Asha-Rose Mtengeti Migiro, Deputy Secretary-General of the United Nations, Wednesday, Sept. 23, 2009. (Official White House Photo by Lawrence Jackson)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa pozi bado linamzungua.

    ReplyDelete
  2. jamani JK hata ka-smile jamani! mbona home you are all smiles, imekuwaje hapo tena?

    ReplyDelete
  3. Wabongo hatujui ku-relax kwenye picha. Hata tabasam laini hamna. Duh!!!

    ReplyDelete
  4. Huyo ni rais wa bongo kama walivyo marais wengine,hayo mambo ya H.E Jakaya Mrisho ni utumwa tu na kuendekeza uswahili.Mbona Obama haitwi hivyo? Zamani Rais Moi wa Kenya alikuwa anaitwa hivyo lakini wenzetu wakaacha maana ni ujinga mtupu,hamna cha mtukufu hapa!!Alaa

    ReplyDelete
  5. Inabidi wizara ya elimu ianzishe somo la kutufundisha namna ya ku-pose kwenye picha. Utafikiria kuna kasauti kalitoka pembeni ka ---MGUUUU SAWWAAA-- then mtu akakakamaa.

    It is not a joke!!!

    Ha ha ha

    ReplyDelete
  6. Mhhhhh Rais wetu kila kukicha anashinda ulaya hii hatari au waosha vichwa wezangu mnasemaje???
    kazi njema kaka MICHUZI.
    Mdau-UKEREWE.

    ReplyDelete
  7. NAPENDA MIGUU YA MRS.OBAMA

    ReplyDelete
  8. Prezidaa wetu Mjeshi,tatizo mmekariri vijana.

    ReplyDelete
  9. Jamani acheni nongwa mh jk kazoea picha za vikundi pale mbele ya bango la bibi na bwana ikulu.

    ReplyDelete
  10. Hizo pozi Maro hebu fanya kazi yako bwana.Michuzi hebu mpe mama yetu heshima yake..huo H.E.tunajua anao hebu Mpe cheo chake Cha Dr.acha kumbania.

    ReplyDelete
  11. Watanzania kwa nini ni wafupi?Je kama angekuwa Mwinyi au Mkapa.Kuna aina ya vyakula au ni hali ya hewa ndiyo inayotufanya tusirefuke?

    ReplyDelete
  12. mama Asha ameokoa jahazi amependeza na amepozi kama mtu mwenye confidence hata Michelle amependa, but raisi, mh, wasiwasi umemjaa,utafikiri katoka kusutwa!

    ReplyDelete
  13. bila kukosea mrs Obama anapiga chuma

    ReplyDelete
  14. Sasa sijui Mama Salma aliambiwa asitokee kwenye picha maanake angeiharibu. Maanake hizi picha ni za "Official White House Photo's" hapo Fredy Maro na Mama Salma waliambiwa wao wakapate kiti moto wakati mzee ana kazi muhimu. Au ndio Mama Migiro ndio stand in wa Mama Salma?

    ReplyDelete
  15. Mmmmmh! Ina maana Asha-Rose ni mfupi kiasi hicho?

    ReplyDelete
  16. Mguu wa michelle umekauka,mnasemaje wabeba box?

    ReplyDelete
  17. Mhashimiwa JK yupo wapi mama SALMA?

    ReplyDelete
  18. mbona kwetu kanada haji? afu kwa sie ambao tumepata kumwona obama na kupiga picha nae tuko "MORE RELAXED" zaidi ya raisi wetu hivi ni uoga au? na wewe michuzi picha yako iko wapi na obama? jamaa ni mcheshi sana ni rahisi kupiga nae gumzo kama ukipata kumwona. hawa ndio watu nilitoa machozi saa nimemwona manake nilifurahi mno. nililia pia nilivyomwona baba wa taifa "Mtukufu Nyerere - R.I.P"

    ReplyDelete
  19. hata mie nimeshangaa kutokumwona mama salma, labda vitenge vimemwishia manake si unamwona mama obama alivyovaa? naona wangetoa pesa kidogo za kuwavisha raisi na mkewe na kuwawekea permanent "STYLIST" ingekuwa fiti manake hata kama nchi ni maskini lakini uongo tungeonekana.

    ReplyDelete
  20. Mh Raisi, uanze kununua suti za vifungo viwili badala ya vitatu kwani hiyo suti uliyovaa inaonekana kama umevaa koti la mvua. Kama anataka kusaidiwa aseme.

    ReplyDelete
  21. Picha hizi lazima jamaa zetu wa jirani hapo mitaa ya juu watamaindi. Ingekuwa ni kiongozi wao, mbona tungekoma.
    Hongera Mheshimiwa, ukitabasamu nongwa, ukiuchuna nongwa. Lipi jema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...