Hi Uncle Michuzi Shikamoo!
Jana ilikuwa hepi besdei yangu ya kutimiza mwaka mmoja, na Baba na Mama wakanifanyia "Hepi besdei tu yuuuuu". Dada yangu Faith akanipa zawadi, na marafiki zangu wadogo wadogo walikuja tukaimba wote "Hepi besdei Donald".
Tulikula keki na kunywa juice. Mwakani nitakualika mimi mwenyewe uje, jana ilikuwa watoto tuuuuu!!! Mimi mdau wako mdogo. Donald Octavian Barnabas
kaaaa Donald you are vere vere genius, mtoto unaongea swahili nzuri namna hii, basi mungu akuongeze na uwe genius zaidi.
ReplyDeletehepi besdei!
mdau no 5!
hongera sana Donald,bado kuchezea Manchester Football Club! sasa Thierry Mukanda atakuwa Arsenal sijui mtakuwa marafiki kama baba zenu! - mama mukanda
ReplyDeleteoctavian barnabas, ulisoma zanaki shule ya msingi na kumaliza 1985?
ReplyDelete