ukumbi A
Ukumbi BIla wadau wamesikika kulalamika kwamba kastama kea hapa mlimani city conference centre iz not richebo kihiiiiivyo. unaambiwa jamaa wanakwambia mwisho saa sita kamili juu ya alama.
ukipitisha dakika kumi tu wanazima umeme, huku wafanyakazi wake wakiwa wamemnuna na huku wameshika kiuno mlangoni wakingoja mkitoe. ukiwauliza wanakwambia ebwaanaaaaa eeee kesho tuna kazi ingine hapa. fanyeni muondoke tuanze usafi. ukihoji zaidi utaambiwa nenda msimbazi centre uone wanavyofanya, na hakuna anayelalama.
mdau mwingine alisema tatizo sio kuheshimu muda bali kauli zisizo za kistaarabu pamoja na vitendo vya hawa jamaa, kwani kuna siku wataunguza vyombo vya mtu kwa kuzima umeme ndipo watajua nini faida ya ustaarabu.
wadau hili limekaaje?



Safi sanaaa. mkishaunguza miziki yenu ndo mtajua nini maana ya punctuality, mshaambiwa saa 6 mwisho nini hamuelewi. haa haaaa, nimelewa bwana wakati naandika ila jamaa wanaudhi hawa
ReplyDeleteKama utaratibu mwisho saa sita, ni kitu gani ambacho hakieleweki? Wahi mapema pata maakuli na unavyotaka, muda wa kufunga ukifika nyanyuka nenda nyumbani. Hao wahudumu hawawanyanyasi nyie ndo mnawanyanyasa!Hamuwalip overtime wala hamuwapi tip, hiyo ni kazi kama kazi nyingine muziheshimu na kuwaheshimu wahudumu. Hata huku majuu muda wa kufunga ukifika umekaa tuu, wanakuambia uondoke muda umeisha na hakuna anayebishana nao, unaondoka laa sivyo utaitiwa polisi wakufundishe utaratibu.
ReplyDeleteHivi?!! what is with that fulana? ina maana, cant you choose places that you can or can not put on that fulana michuzi! thats too much sasa, keh!
ReplyDeletena ole wako ubane hii comment!
Wanatakiwa wasiwazimie taa huku ukizidisha muda unalipa faini ya nusu ya gharama kamili ya ukumbi, unatakiwa kuweka deposit ukitimiza masharti yao na kutoka kabla ya muda unarudishiwa deposit na ukiwacheleweshea kufanya usafi unapewa mafagio kupangusa na kufyagia kwahiyo hiyo ndio inawafaa kuwashikisha adabu
ReplyDeleteAnonymous wa Mon Sep 28, 10:53:00 PM,
ReplyDeleteWewe umeona hapo mahala pa maana sana nn? naona ingekuwa ni wewe ungeenda kuazima na suti kabisa.Heheh just joke usimaindi ...
sio hao tu, hapo mlimani city wafanyakazi wake ni kweli majeuri, kuna siku nilikuwa hapo na watoto na nikawanunulia ile pamba ya sukari bahati mbaya mmoja mdogo alianguka na ile pamba ilimuanguka pia, tukaiokota na kuitia kwenye dust bin, kidogo nikafatwa na mfagiaji anatukemea kwa hasira kwanini tumemwacha mtoto anachafua na akanitaka niende nikapasafishe, nikamwambia siendi kusafisha kwani nimemtuma makusudi mtoto aidondoshe ile pamba na kwani wewe kazi yako nini hapa si umewekwa kusafisha nikamwambia akawambie hao wanaouza wasiuze sababu wanunuzi wakubwa ni watoto na kama hivi mtoto kaanguka kachafua au kama huwezi ntaenda kuwambia mimi, alipoona nimesimama ngangari akawa ananiomba nisipandishe sauti basi yeye atasafisha lakini waangalieni watoto wasichafue! Basi baadae nikamkuta pale mlangoni anasafisha upande mmoja na huku upande wa pili watu wanapita na nje kulikuwa na mvua, wakawa wanaingia na matope, jamaa alikuwa anasafisha huku kanuna kakunja uso utafikiri yuko chooni anajikamua! maana anajua akitoka pale itabidi akasafishe na upande ule mwingine!
ReplyDeleteUkweli ni kwamba watanzania ni wavivu na mabishoo tu hiyo kazi ameikubali sababu anapata mshahara mkubwa labda lakini hataki aonekane yeye ni mfagiaji, anasubiri mshahara tu mwisho wa mwezi.
Ma Mall ya nje wasafishaji hata hawaulizi kwanini umetupa kitu wao wanajua kazi yao wakiona uchafu wa aina yoyote ni kuuondoa, japo kuna wengine wanatupa vikaratasi kama vya chewing gum, risiti n.k kwa makusudi.
Mmmmhhhhhhh anko nanihiii hicho kifulana utafikiri hakibanduki mwilini kama ngozi! au unazo nyingi zenge rangi na size sawa! Lazima itakuwa inaprojuzi kibafyumu fulani hivi kwani lile jua la thame sio mchezo! na ile kupiga jeki kubadili tairi lazima ulivuja vimaji mmhh uwe unabadilisha wakati mwingine hasa kwenye minuso ya watu!
ReplyDeleteMdau USA
kwakweli mzee wa libeneke hlo halijatulia kabisaaaaaaaaaaa. pesa tutoe sisi alafu watufanyie unyama kama huo. inabid manager aambiwe mambo kama hayo yanaharibu biashara bwana kwanza hao waudumu mshahara wanaupata kutokana na wateja ngoja watu wsitishe huduma alafu tuone kama wataenda chooni
ReplyDeleteKaka Michu, kwa kweli hiyo tisheti ina kaaazi kweli kweli! Haichagui popote inakwenda, ilikuwa safarini Arusha, kwenye mnuso hiyo hiyo!! Hayo masharti ya mganga ulioenda ni magumu!
ReplyDeleteUkumbi unacost kiasi gani hapo? Nina mnuso karibuni....
ReplyDeleteNAAMINI TATIZO SIO WAHUDUMU NI SISI WATEJA.
ReplyDeleteTunalaumu tulipoangukia badala ya kuangalia tulipojikwaa.
Usitaarabu ni kwamba fuata masharti kama mlivyoafikiana, la sivyo wafauate kabla muda hujaisha na mjadili nini kifanyike kwa muda unaotaka kuzidisha.
Michuzi Mganga wako ndio kakwambia usivue kit-shirt hicho nini, manake smhikaji kimezidi. Usikute ndio maana watu hatuishi kwenye blog yake. Pengine kinavuta kimazingara mtu kuingia humu. Yaani mimi ni lazima niingie michuzi kila siku ndio siku ikamilike, pengine ni hako ka-tshirt kanatuvuta, Hahaaaa!
ReplyDeletesitanii wala nini hiki kifulana kimepauka sana nahisi hata huko kwenye kikwapa imekuwa ya njano EWE MUHIDIN ISSA WA MICHUZI!!!! mkuu wa libeneke tunakuomba saana hicho kifulana sasa basi tunaeelewa unaona raha kutuonyesha sisi wadau kuwa unakimaindi sana hicho kinguo lakini sasa hakileti tena maana wadhungu wanasema too much is_ _ _ _ !!!!
ReplyDeletemiss michuzi
Mithupu ilibidi hiyo T shirt uvae na tai.
ReplyDeleteHalafu inaeleka kana nuka maana mtazame huyo dada wa mbele yako alivyo kunja uso
Michuzi inabidi ubadilike watu wamekumaindi sana na hiyo fulana yako maaana wametafsiri kwa uvaaji huo umedharau sherehe yako has ukiangalia watu wmepiga masuti.
ReplyDeleteMichuzi inabidi uvae kulingana na mazingira hata mimi ukija kwenye sherehe yangu na T-SHIRT nitaona umedharau sherehe yangu.Jitahidi kuvaa kulingana na mazingira, hiyo T-shirt ungeivaa kwenye michezo hakuna mtu angekuuliza.Hiyo ni sehemu rasmi inabidi uwe rasmi.Ukivaa suti kwenye michezo kila mtu atakushangaa kama ilivyo kuvaa T-shirt kwenye sherehe rasmi
ReplyDeleteKaka Michu, nakuheshimu sana ila hiyo t-shirt umeshavaa kupita kiasi tena unai-abuse. Na vipi huyo mama Michu hakupangii nguo?? Mwambie tutamsaidia kukupangia nguo ebo!!!!!!!!!!
ReplyDelete