libeneke la vekesheni laendelea kwa kwenda mbele. safari hii ni shy-rose bhanji wa NMB ambaye yuko san diego kwa vekesheni ya kiangazi. anawapa hi! wadau wote wa globu ya jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. Salaam tumezipata sister. Pitia na Texas maeneo ya Dallas tunaweza kukubahatisha ukiwa kwa ndugu na jamaa. Tunakukumbuka wakati wa TvT wengine, Halafu umependeza na hizo pigo zako hapo!!!!!!!!! Huo mwendo sasa !-- natamani ingekuwa ni video - tukulebege

    ReplyDelete
  2. Mbona uko mwenyewe, Shy Rose? "Kila kona watu kibao" yuko wapi? Siyo vizuri kwenda vacation wewe mwenyewe. Siku nyingine mchukuwe Jafarai.

    ReplyDelete
  3. mtoto wewe, vazi limekutoa ati, mashara mie yangu macho, kwanza kuanzia hapo juu hadi hapo kati mh!.
    unapendeza.
    karibu kwetu
    Texas USA.

    ReplyDelete
  4. u luk gud shyrose

    ReplyDelete
  5. Heri yake, anajua sehemu za kula likizo. enjoy mama .

    ReplyDelete
  6. mbona katuma picha ya peke yake. yule serengeti boy wake kamuacha room nini?? jaffarai keshatema mzigo au bado anaendeleza libeneke hapo???

    ReplyDelete
  7. Aje huku Sunset beach nimfundishe jinsi ya kuongea ili ashinde kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM. Maana njia anazotumia sasa sio nzuri kwani watu watakuwa wanakuangusha kwenye penati box uzidi kulia

    ReplyDelete
  8. Samahan Eeee Aaaaa Naniliu yule nani vile aaaa sorrry yule Jafarai wapo pamoja bado?..Nauliza tu jamani
    Sameer-Holland

    ReplyDelete
  9. Hey Shy-Rose... this is Ron Heriel your school mate at Lake High...
    residing in ATL --- I would like to meet u if possible it has been a decade...

    ReplyDelete
  10. Nice Photo! Holla if you come to Boston.

    ReplyDelete
  11. asante sana Rose, maisha mafupi tumia muda kupumzika

    ReplyDelete
  12. we shyrose, umekimbia saumu siyo?
    huko mungu hakuoni eenh?

    ReplyDelete
  13. Check with me miss Shyrose!@ kulasilikulalasilalinitakunyaje?@yahoo.com poa mida!

    ReplyDelete
  14. mguu umetulia dada

    ReplyDelete
  15. NI WA SIKU NYINGI NA BADO ANARUDI KUWA MSICHANA MDOGO MREMBO, HUZEEKI MWE!!!! UKO SEXY UMEPENDEZA MWALI. MATE YANANITOKA

    ReplyDelete
  16. Shy msalime sana Anar and family, you old buddy!

    ReplyDelete
  17. wacheni wivu wabongo tatizo lenu hamna kazi za kufanya ndio maana mnaingilia maisha ya watu wengine ambao wamejaaliwa na mwenyezi mungu...wote mliondika shit kuhusu shy mmelaanika ndio maana mpo mpo tu...mtakalia kusema watu badala ya kufanya vitu vya maana maishani mwenu!

    ReplyDelete
  18. huyo nyangau anayeuliza kwanini shyrose kaenda likizo peke yake naomba nimjibu hivi: tafuta kazi ya kufanya acha umbeya mwaya...mtu mzima kuingilia maisha ya wenzako haipendezi hata kidogo...kila mtu ana life hake hivyo jaribu kujiheshimu. Nakushauri ubadili tabia kama utashindwa saga chupa umeze...ni hayo tu

    ReplyDelete
  19. Huyu demu huwa na mfananisha na Lisa Lisa from the record "Let the beat hit 'em"

    ReplyDelete
  20. shy umependeza, unang`aa, uko juu, wajinga wanaopost comments za kipumbavu just ignore them coz its not possible to argue with fools...haha

    ReplyDelete
  21. mzee michuzi, picha ya haraka haraka ninayoipata hapa ni watanzania ni watu wenye chuki na wivu kupindukia. kwanini tunakuwa hivi? wivu haukataliwi but uwe ni wivu wa maendeleo. Shybaby wewe endelea na lyf yako usikubali m2 yoyote akukatishe tamaa upo juu!

    ReplyDelete
  22. SHY-ROSE LIKIZO NJEMA U LOOK STUNNING. MDAU US

    ReplyDelete
  23. Mrembo umependeza achana na wazushi wanaosemasema hovyo, kila cku tunakuona unasonga mbele na hiyo ndio sababu kubwa ya baadhi ya watu kukuonea wivu. Wamesema mengi lakini MUNGU anavyokupenda unafanikiwa kila cku. Endelea kujiamini hiyo ndio silaha yako kubwa. Lv U

    ReplyDelete
  24. Nakubali mguu umetulia

    ReplyDelete
  25. anony Sept 13th 5:38 Ronald Heriel?
    Lake '87-'89!

    ReplyDelete
  26. welcome to the states shy, have a great tyme, salam zako tumezipata!

    ReplyDelete
  27. nilijua Kim Kardashian, u look like Kardashian's familly.

    ReplyDelete
  28. Kim Kardashian and Shy rose hawafanani hata kidogo......kim is beautiful on her own way and applies to shy tooo

    ReplyDelete
  29. ndiyo wapo pamoja na jaffarai we ulitakaje?? mind yo biz... unafiki tu ati wako na bla blaaaaa kwani ulikuwa mshenga wao eboh!

    ReplyDelete
  30. Jaffarai yupo hapo nyuma hamwoni? Wamekuja kufunga pingu jamani wenye wivu wajinyonge

    ReplyDelete
  31. looks like Americas next top model. its George CA

    ReplyDelete
  32. Shy wewe ni mwanamke jasiri na shupavu...ni miongoni mwa wanawake wanaostahili sifa za kipekee.

    ReplyDelete
  33. likizo njema shy...You look great mpendwa

    ReplyDelete
  34. Kila mtu ana uhuru wa kusema lolote apendalo bora tu asivunje sheria, Kama Rose alikuwa hataki comments tofautitofauti za watu ya nini ametoa picha yake humu? Kila mtu ana mawazo na maoni yake tofauti kulingana na utashi wake, Wote tunahitaji kuvumiliana because we have different perspectives. Dada yangu Shy Rose Bhanji naomba uvumilie tu kama mtu anayetumbuliwa jipu, From Michael Laiser

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...