Home
Unlabelled
shy-rose katika vekesheni san diego
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Salaam tumezipata sister. Pitia na Texas maeneo ya Dallas tunaweza kukubahatisha ukiwa kwa ndugu na jamaa. Tunakukumbuka wakati wa TvT wengine, Halafu umependeza na hizo pigo zako hapo!!!!!!!!! Huo mwendo sasa !-- natamani ingekuwa ni video - tukulebege
ReplyDeleteMbona uko mwenyewe, Shy Rose? "Kila kona watu kibao" yuko wapi? Siyo vizuri kwenda vacation wewe mwenyewe. Siku nyingine mchukuwe Jafarai.
ReplyDeletemtoto wewe, vazi limekutoa ati, mashara mie yangu macho, kwanza kuanzia hapo juu hadi hapo kati mh!.
ReplyDeleteunapendeza.
karibu kwetu
Texas USA.
u luk gud shyrose
ReplyDeleteHeri yake, anajua sehemu za kula likizo. enjoy mama .
ReplyDeletembona katuma picha ya peke yake. yule serengeti boy wake kamuacha room nini?? jaffarai keshatema mzigo au bado anaendeleza libeneke hapo???
ReplyDeleteAje huku Sunset beach nimfundishe jinsi ya kuongea ili ashinde kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM. Maana njia anazotumia sasa sio nzuri kwani watu watakuwa wanakuangusha kwenye penati box uzidi kulia
ReplyDeleteSamahan Eeee Aaaaa Naniliu yule nani vile aaaa sorrry yule Jafarai wapo pamoja bado?..Nauliza tu jamani
ReplyDeleteSameer-Holland
Hey Shy-Rose... this is Ron Heriel your school mate at Lake High...
ReplyDeleteresiding in ATL --- I would like to meet u if possible it has been a decade...
Nice Photo! Holla if you come to Boston.
ReplyDeleteasante sana Rose, maisha mafupi tumia muda kupumzika
ReplyDeletewe shyrose, umekimbia saumu siyo?
ReplyDeletehuko mungu hakuoni eenh?
Check with me miss Shyrose!@ kulasilikulalasilalinitakunyaje?@yahoo.com poa mida!
ReplyDeletemguu umetulia dada
ReplyDeleteNI WA SIKU NYINGI NA BADO ANARUDI KUWA MSICHANA MDOGO MREMBO, HUZEEKI MWE!!!! UKO SEXY UMEPENDEZA MWALI. MATE YANANITOKA
ReplyDeleteShy msalime sana Anar and family, you old buddy!
ReplyDeletewacheni wivu wabongo tatizo lenu hamna kazi za kufanya ndio maana mnaingilia maisha ya watu wengine ambao wamejaaliwa na mwenyezi mungu...wote mliondika shit kuhusu shy mmelaanika ndio maana mpo mpo tu...mtakalia kusema watu badala ya kufanya vitu vya maana maishani mwenu!
ReplyDeletehuyo nyangau anayeuliza kwanini shyrose kaenda likizo peke yake naomba nimjibu hivi: tafuta kazi ya kufanya acha umbeya mwaya...mtu mzima kuingilia maisha ya wenzako haipendezi hata kidogo...kila mtu ana life hake hivyo jaribu kujiheshimu. Nakushauri ubadili tabia kama utashindwa saga chupa umeze...ni hayo tu
ReplyDeleteHuyu demu huwa na mfananisha na Lisa Lisa from the record "Let the beat hit 'em"
ReplyDeleteshy umependeza, unang`aa, uko juu, wajinga wanaopost comments za kipumbavu just ignore them coz its not possible to argue with fools...haha
ReplyDeletemzee michuzi, picha ya haraka haraka ninayoipata hapa ni watanzania ni watu wenye chuki na wivu kupindukia. kwanini tunakuwa hivi? wivu haukataliwi but uwe ni wivu wa maendeleo. Shybaby wewe endelea na lyf yako usikubali m2 yoyote akukatishe tamaa upo juu!
ReplyDeleteSHY-ROSE LIKIZO NJEMA U LOOK STUNNING. MDAU US
ReplyDeleteMrembo umependeza achana na wazushi wanaosemasema hovyo, kila cku tunakuona unasonga mbele na hiyo ndio sababu kubwa ya baadhi ya watu kukuonea wivu. Wamesema mengi lakini MUNGU anavyokupenda unafanikiwa kila cku. Endelea kujiamini hiyo ndio silaha yako kubwa. Lv U
ReplyDeleteNakubali mguu umetulia
ReplyDeleteanony Sept 13th 5:38 Ronald Heriel?
ReplyDeleteLake '87-'89!
welcome to the states shy, have a great tyme, salam zako tumezipata!
ReplyDeletenilijua Kim Kardashian, u look like Kardashian's familly.
ReplyDeleteKim Kardashian and Shy rose hawafanani hata kidogo......kim is beautiful on her own way and applies to shy tooo
ReplyDeletendiyo wapo pamoja na jaffarai we ulitakaje?? mind yo biz... unafiki tu ati wako na bla blaaaaa kwani ulikuwa mshenga wao eboh!
ReplyDeleteJaffarai yupo hapo nyuma hamwoni? Wamekuja kufunga pingu jamani wenye wivu wajinyonge
ReplyDeletelooks like Americas next top model. its George CA
ReplyDeleteShy wewe ni mwanamke jasiri na shupavu...ni miongoni mwa wanawake wanaostahili sifa za kipekee.
ReplyDeletelikizo njema shy...You look great mpendwa
ReplyDeleteKila mtu ana uhuru wa kusema lolote apendalo bora tu asivunje sheria, Kama Rose alikuwa hataki comments tofautitofauti za watu ya nini ametoa picha yake humu? Kila mtu ana mawazo na maoni yake tofauti kulingana na utashi wake, Wote tunahitaji kuvumiliana because we have different perspectives. Dada yangu Shy Rose Bhanji naomba uvumilie tu kama mtu anayetumbuliwa jipu, From Michael Laiser
ReplyDelete