hapa ni segera ambapo anko nanihii na dereva wake (mwenye nmb) wa gari la kuazima walipopata dina la mchana na wadau wa tbc one waliokuwa wakitoka a-taun kurudi dar.
maeneo ya thame ndinga likapata pancha. kazi ilikuwa kubadilisha tairi. anko nanihii: hii jeki inawekwa wekwaje vile.....
sehemu za thame gari letu la kubomu likapata pancha. libeneke lilikuwa namna ya kubadili tairi. ah, bana eeee... isiwe taabu. hivyo hivyo tu ndivyo wanafanyaga.....
ndigi iko full nondo. faya eksitingusiha na pia traiengo. ila inawekwa mita ngapi vile nyuma ya gari......




Issa bwana bado tunakuhitaji kwenye libeneke, kagari gani hako unasafiria. Risk ni kubwa sana hasa ukizingatia usalama wa barabara za bongo. Aisee next time njoo nikupe Shangingi ntakuwekea na mafuta ya kuendea kurudi utaweka mwenyewe. Huo uliosafiria ni usafiri wa kuhama bar moja kwenda nyingine wilaya ya kinondoni
ReplyDeletePole sana kaka Michuzi! At least mlifiuka salama. Mungu yu Mwema.
ReplyDeleteank nanihii pole. ila swali la kizushi..huna tshirt mingine au ziko nyingi kama sare za askari wa usalama barabarani
ReplyDeleteJamani mwenzenu nizikiziangalia-GA hizi mbarabara ya lami ya kwenda Mikoani huwa napata night mare...kinachonijia ni kifo tu! si utani...Niko Marekani karibu miaka 23 sasa lakini kila nikifika Dar hata ndugu au marafiki zangu wanipe gari sijui niende sijui mahala kama Tanga au Moshi kusalimu wazee huwa sithubutu kuendesha mwenyewe. Maana naona kama jamaa wenye mabasi na Malori wanaendesha rafu, wanguwangu halafu katikati ya njia mpaka wamefika karibu kabisa ndio wanakuachia njia, hivyo ukiwa unaweza kujikuta umeshaparamia nyasi au katani:-) Na ukiharibikiwa na gari kama hivi basi unakuta wengine wa take advantage ya kuanza kukuvamia na mapanga kuchukua chao mapema...Haya poleni Kaka Michuzi!
ReplyDeleteKUJIPENDEKEZA KWA KAKA MICHUZI NI MUHIMU SANA HATA KAMA NOT NECESSARY
ReplyDelete"Pole sana kaka Michuzi-yani nilikuonea huruma sana. I wish ningekuja na hedikopta nikuchukue. Na am sure uliumia sana vidole na kuchoka sana. Ungeliita makenika wakusaidie. Siku nyingine ikitokea usisite kunipigia. namba yangu ni 911"
haya kaka uliyata mwenyewe hayo kaka we kazi yako kubwa ni libeneke pia unataka na ufundi mjomba be carefully maana unaweza kukaa barabarani ukashaangaa mloro uo unakuja kwa nyuma
ReplyDeleteAisee Michuzi. Sahihisho. Not big but GOD IS GREAT!!!Neno big linafaa kutumika kwa kiumbe ambacho kina definite size. Kwa hiyo kusema God is Big ni kumushushia hadhi Subhana Wataala.
ReplyDeletedaaah kaka nanihii umeniaibisha ile mbaya achia mbali kagari hako kwan mngepanda hata basi,Ishu ni hiyo t-shits ni ileile uliyokua nayo mlimani city night,ungeanzima hata ya kuzugia ya kupigia picha,then ndo hiyohiyo ukatanua nayo a town,
ReplyDeleteAhh kaka michuzi!!!
ReplyDeletekwanza hiyo sio puncha ni burst ya tairi tena una bahati ilikua tairi ya nyuma. Tatizo la wabongo tunaponunua hivi vigari vyetu vya mtumba hatukumbuki kubadilisha yale matairi yanayotumika zile nchi za baridi zilipotoka hizo gari na kuweka haya ya kwetu amabayo yametengenezwa kwa nchi za joto.Na ndo maana uligundua Tatizo ulipofika Arusha ukabadili Tairi zote. Ungerudi nalo na tairi hizizo hizo uone shughuli yake hapo barabarani.
Mdau DSM
michuzi "barabara ya nyerere rodi" mmh hiyo kali pitia basi hizo taarifa zako upunguze makosa ya kiuandishi.kiswahili ndiyo chetu lakini unachapia kupitiliza!kwa kuzungumza kweli huwezi kurekebisha michapio lakini si katika kuandika!, hapo hakuna msamaha.maana same imekuwa 'thame' ndinga imebatizwa 'ndigi' khaa! usitupotezee ladha ya lugha yetu kwani ni nzuri saaaaaaana.
ReplyDeleteAnko Nunua tshirt arusha hiyo umetuchosha nayo. Hata huko majuu ulikuwa na hiyo. What is the secret behind that Tshirt? halafu kameparara vile.
ReplyDeletemisupu tuletee taswira za a town,maana ulivyokuwa mwanza ulituletea nzuri sana,a town kuna sehemu za kuvutia na vikwangua anga vingi hata kuliko mwanza,lete taswira mzee,na kwa ushauri kama ungeweza kuusanya taswira za miji yetu na kutengeneza short clip,maana watani wa jadi wameziweka nyingi sana kwenye youtube za kwao,na miji mingine ya africa,kasoro miji ya bongo inabaniwa kwenye hizo clip,unaeza kusearch youtube,aafrica you never see on tv
ReplyDeletepoleni na kashkash mie nahisi hicho kifulanaz kilileta gundu!
ReplyDeleteewe mdau wa 08:48:00 AM matairi ya nchi ya baridi haihusu kabisa ina maana wakati wa summer ni joto kali matairi huwa yanabadilishwa???
ReplyDeleteKwanza kabisa anko nanihii hako ka gar sio ka safari ni ka mama ka kuendea sokoni,Pil nalia kwenye hiyo form six (T-Shirt) huna nyingineee au ziko nyingi?,Tatu suala la kubadilisha tair ya gar ni suala basic kabisa kwa mtu yoyote bongo mwenye gar inakuaje hujui?hata wanawake wanajua.
ReplyDeleteMithupu unahatarisha blogu yetu kwa kukwea vigari vya DSM Combine.Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu hilo burst ni soo, maana laweza kukupeleka kwa Mola mapema.
ReplyDeleteKabla ya kusafiri-check tairi zako
-check maji
-check engine oil
-Vizuri uwe umefanya service
-gari iwe "nzito" weka hata
wa cementi nyuma-kwa stability
-maji ya wiper yawepo
-indicator zifanye kazi
Kabla ya safari ndefu hakikisha uwe umepata usingizi wa kutosha.
Vitu hivi si lazima uelezwe na polisi trafic, na vinaweza kuokoa maisha yako
aaahahhaa Pole sana Michuzi, nasikia hiyo mipira ilikuwa janja yao ili kutaka kukukolimba ili ukae kimya ktk kuwachokonoa kupitia blog yako. ahahhaa, take care, natania tu. don't take serious mkuu wa naniiii....
ReplyDeleteDuh,
ReplyDeleteUmenikumbusha sana kwetu Makanya. between same and Hedaru-hebu leta taswiraz za upareni PLeeeeeeeze!
ANGALIA KIBARABARA KILIVYOKUWA CHEMBAMBA SIJUI WALIKUWA WANAMUACHIA NANI MSITU WOTE HUO PEMBENI ALAFU TUNASHANGAA MBONA KUNA AJALI NYINGI MNO.
ReplyDeleteNimeshaelewa kwa nini anko nanihii anapenda sana hako katshirt ni ili akiwa mahali popote uweze kumuidentify kwa haraka hasa akiwa kwenye jopo la watu wengi,kuna njia nyingi wengine huaga wanatumia
ReplyDeletemagar yenye unique color.
he he he!mie nawaonea huruma waosha vinywa wanaoiponda T-shirt ya anko,ipo siku hiyo t-shirt itaongea, mnaiulizia ya nini?mithupu anajua the secret behind it and you keep on asking ????? ivaliwe.naona arobaini zenu zemetimia kama hamtakua shut mum.kama unajipenda keep yuorself away from it otherwise.....by the way who are you to ask him about his dressing style?mind your own bussiness washamba ndo walewale wanao end up kuazima nguo for the sake of showing off.simply the t-shitr is ment for identification.... if you nkow him others dont... hata wadau mnaokaa nje macho yenu yote yako kwenye kat-shirt.tell us about maendeleo ya huko ili you change Tanzania.oh! give michuzi a break men...
ReplyDeleteMICHUZI INASEMEKANA HILO ENEO LINAITWA "THAME" NA SIO "SAME" NA "WAPARE" NI KATI YA MAKABILA MEMA SANA WALIKUSAIDIA VILIVYO....USITAKENCHEKE....
ReplyDeleteJameni lol nafurahi kuwaona ma x-staff hapo juu wakina N. Mmbaga na D.kaombwe lol longtime nakumbukia tvt aya endelezeni kazi ya kujenga taifa sie bado tupo nchi za watu hope will join you again!
ReplyDeletechuchu