Selamawit Zerabruck Ghebreslassie
From Eritrea
Date of Birth 19-08-1991
Height 172
Hobbes reading, Traveling, movies
Kunduchi Beach Hotel & Resort itadhamini mashindano ya kimataifa ya Miss East Africa 2009 yatakayo fanyika mwezi Desemba mwaka huu jijini Dar.
Kwa udhamini huo, Kunduchi Beach Hotel & Resort ndiyo inakuwa OFFICIAL RESIDENCE ya Miss East Africa 2009 ambapo warembo wote kutoka Nchi 14 zinazoshiriki mashindano hayo watafikia na kuishi katika hoteli hiyo ya kifahali iliyo kandokando ya ufukwe wa bahari ya hindi.

“Tunapenda kushukuru uongozi wa Kunduchi Beach Hotel & Resort kwa kudhamini mashindano yetu ya mwaka huu ampapo sasa wasichana wetu tatafikia katika hiyo ambayo ni moja ya hoteli za kuvutia barani Afrika”
Mashindano ya MISS EAST AFRICA 2009 yamepangwa kufanyika tarehe 18 mwezi Desemba mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es salaam.
Sefora Messele Ghebreezgabiheir
From Eritrea
Date of Birth 19-09-1991
Height 180
Hobbes swimming, reading

Mashindano hayo yatashirikisha warembo 28 kutoka Nchi 14 zilizo katika ukanda wa Afrika mashariki ambazo ni pamoja na wenyeji TANZANIA, KENYA, UGANDA, RWANDA na BURUNDI. Zingine ni ETHIOPIA, ERITREA, DJIBOUTI, SOMALIA, pamoja na visiwa vya MAURITIUS, MADAGASCAR, COMOROS, RE UNION na SEYCHELLES.

Taji la Miss East Africa kwa sasa linashikiliwa na mrembo Claudia Niyonzima wa Burundi aliyeshinda mashindano hayo mwaka jana jijini Bujumbura.
Tunapenda pia kuwakumbusha watu wote kwamba ile bahati nasibu ya MISS EAST AFRICA ya kusaidia yatima bado inaendelea na unaweza kujishindia zawadi mbalimbali kwa kununua tiketi za bahati nasibu hiyo kupitia kwa wauzaji wa magazeti kote Nchini au kwa kutuma neno “SHINDA” kwa sms kwenda namba 15567 kupitia simu za mkononi.

Zawadi ya juu kabisa katika bahati nasibu hiyo ni gari aina ya Range Rover Sport kutoka kampuni ya CMC Automobile Ltd.

“Tunapenda kuwahakikishia wapenzi wa fani ya urembo kwamba mashindano ya MISS EAST AFRICA mwaka huu yatakuwa ya kuvutia sana na yenye ushindani mkubwa kwa vile kila Nchi imekusudia kuleta warembo bora na wenye viwango vya juu katika fani hiyo”

Kwa ujumla maandalizi kwa ajili ya mashindano hayo yanakwenda vizuri;
Aidha, kampuni ya AKO Catering services ndiyo itakayo toa huduma ya chakula na vinywaji ndani ya ukumbi wa Mlimani City siku ya fainali ya mashindano ya Miss East Africa 2009.

“Tumeamua kuitumia kampuni ya AKO catering services kwa huduma hiyo ili kuhakikisha kwamba watu wote siku hiyo wanapata huduma bora kabisa ukumbini hapo. AKO ndiyo kampuni bora hapa Nchini kwa shughuri za chakula na vinywaji”

Fainali za mashindano ya MISS EAST AFRICA 2009 zinasubiliwa kwa hamu na wapenzi wa fani hiyo barani Afrika na inatarajiwa kwamba watu wapatao millioni 200 wataangalia mashindano hayo kupitia katika Television barani Afrika.

Kituo cha East Africa Television ndiyo
official TV station ya mashindano ya MISS EAST AFRICA.

Rena Callist
MKURUGENZI MTENDAJI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. now the competiton is about to start !
    si dada zetu choka mbaya wanajidai mamiss kila siku.
    Challenge hiyo sasa !
    si onaona watoto hao ?

    ReplyDelete
  2. Shame on you, why didnt you put our own sisters first! We are the host lakini matangazo yenu haya mmeweka watu wa Eritrea, Hovyooooooooooooo!

    ReplyDelete
  3. wee any wa 18 5.19pm acha hizo, hawa kina dada wana sio wabantu, ivo mwonekano wao uko kiarabu arabu zaidi kuliko kiafrica, na hiyo haimaanishi wabantu wamechoka, sifia chako kwanza acha kubabaikia vya wengine, kweli hao ni wazuri lakini haimaanishi our sisters are not cute. mtazamo wangu.

    ReplyDelete
  4. Kweli hizi totoz za uhahkika sio hawa wetu choka mbaya wanajiita mamiss

    ReplyDelete
  5. Haiwezekani kwamba na hawa wanakwenda chooni, yani siwezi kubali.

    ReplyDelete
  6. hamna kuogopa hizo make-up na digital photo editing, hata jaydee nae mzuri akipatiwa make-up na digital photo editing. tafuteni jarida jipya la mitindo ya nywele muone.

    ReplyDelete
  7. Nadhani mimi nitaenda kuopoa kipopo changu eritrea, nimekuwa na mawazo hayo miaka mingi na hawa watoto ndiyo wanazidisha nia yangu. Asmara nakuja!

    ReplyDelete
  8. Wallahi iko siku hawa watoto wa kihabeshi nitawafuata huko huko Eritrea Na Ethiopia wakanimalize kabisaaaaaaaaaa!!!!
    Hivi mtu akitaka kwenda Ethiopia na Eritrea ni lazima aombe Viza na kuonyesha Bank Statement ya uongo kwenye ubalozi wao??
    Iko siku ama zao ama zangu lakini sitawasamehe vimwana hivi.

    ReplyDelete
  9. mmmhhh acheni jilaz hiyo namba moja ni hatari hata mseme sio wabantu ni wazuri tuuuuuuuuuuuuu angekuwa ndo mwanao mngeleta bla bla? acheni hizoooo mezeni moto

    ReplyDelete
  10. HAWA WATOTO WAZURI BWANA HATA BILA PHOTO EDITING HILO HALINA UBISHI NENDA ETHIOPIA UONE

    ReplyDelete
  11. Hawa watoto wa kihabeshi ni moto mbaya kaka michuzi. Nazani ulikueko huko mwaka jana ama early this year ni moto na hamna mbaya huko kwao. Kama nimekosea nisahihishe.

    Ndugu zangu hata nikienda Nairobi lazima nipande Air Ethiopia nikae hata kasaa nijiliwaze pale Addis. Hata wife ameshaanza kushtukia dili mikogo yangu eti tiketi napata kwa discount hali ni ghali.

    Nyie mliokua na hamu ya kwenda huko mtapotea kama mimi nawahurumia.

    Mwenye kutetea mamodo wetu anahitaji kusafiri kidogo na muelekeo wake utabadilika. Kumbuka hizo nywele si za kubandika rangi si za mikorogo. Nyiee acheni hata my wife akitaka kuanza aende tu namimi nahamia Ethiopia.

    ReplyDelete
  12. Utajua mwanamke mzuri pale unapomuangalia na kuhisi kama unachanganyikiwa hivi. I mean, kwa viumbe kama hawa lazima ata atheist aamini Mungu yupo, ni yeye tu anaweza kutengeneza vitu kama hivi!

    ReplyDelete
  13. mdau wa12:28PM mbavu zangu zinauma sana kweli umepinda kama utumbo kwi kwi kwiiiiii

    ReplyDelete
  14. Kuna mtoto wa kiethiopia jirani yangu hapa kiwanja aisee ni mkali jamani msisikie.Huwa nachoma time balcony na tabasamu la kufoji ili angalau anikongótee lakini wapi sometimes wima mbaya.Nahisi siko peke yangu manake anapokatiza neighborhood nzima tunashikwa kwikwi mbaya kama vile Kanumba kapewa atricle ya John Mashaka asome.

    ReplyDelete
  15. jamani ni kweli waethopia ,waeritria na wasomali wameumbika...wako na culture,lugha,na mambo mengi wanayofanana,lakini tusiwaseme vbaya dadazetu hao maanony wanaosema dada zetu wamechoka kwani nani kawachokesha si nyie wenyewe ..halafu mnataka mkawachokeshe watoto wakiethiopia teehetehe hawahongwi kwa pipi hao mtatolewa baru na bakora so kama dada zetu pipi tu washajileta na ushamba wakiona beyonce kavaa bikini basi nawao watavaa hao wathopia na wasomali nachowapendea hawatoki kwenye mila na desturi zao, so tuwache kuwachezea dada zetu.peace and lov

    ReplyDelete
  16. Jamani wanaume watanzania tuacheni ushamba basi. kabla ya kuwajaribu na kuwafahamu unawaona poa lakini niwaambieni hawa mabinti:
    1. Ni bahati kumkuta ambaye hajaharibu mazingira yaani ambaye hajatahiriwa tena kabsaaa ni kashimo tu! Wengi wao wametahiriwa vibaya na hawajui mapenzi ni sura tu imelala hapo-wanankumbusha watu wa kabila fulani...
    2. Hawaogi na siyo wachoyo kwa kweli. Ila hawajui maji yaani kunawa wala kujitawaza ha ah! wanaweza kutoka kwenye majamboz na wakarukia majamaa wengine bila kuona shida yoyote. ni sura tu hamna kitu!
    3. Wana miroho ya ajabu/mibaya hawaamini wao ni waafrika na ukiwa nao watakuchota mihela yako unakuwa ATM 100%.
    4. Utaishia kuitwa Afrika Afrikan na siku akikutana na kakake au mtu wa kwao hata awe na miaka 70 plus anamgawia mavituz.
    5. akikupenda na ukimkatia vizuri anakutambulisha kwa rafiki yake ili naye afaidi.
    Jamani for quality puroses:Wanawake wazuri tunao bongo...homebred and respectful!

    ReplyDelete
  17. Anon 05:31 wewe umesema kweli na vipi cha mwenzio ukione bora kuliko chako basi wewe hovyo tuuu. Ndio wale wale ukienda majuu wakisema blondie is sex utarukia juu juu bila kujua exactly wht you about to let urself up to. Basi na sisi wanawake tuanze sema wanaume wa-kiabeshi ndio wanaume wazuri wanakimbia hao na waliotulia sura zao bomba na ngozi imejaa malaika laini wanaoliwaza ukilala kifuani, huo utakua upunguani. Kaka yangu, baba yangu wote asili yangu na sioni ubaya wao hata kidogo and all my Tanzanian brothers are very handsome and am proud to be married by them and i believe my bantu baby girls will be little beauty queens.

    ReplyDelete
  18. WE ANON WA 5:31...UNAONA UCHUNGU HAWA WAREMBO KUSIFIWA HAWA WATU WANAROHO NZURI NA KUMBUKA HATA BONGO KUNA WATU WANAFIKI WENYE ROHO MBAYA MFANO KA YAKO..NILIPOTEZA BAG YANGU KWENYE BUS NILIKUTANA NA DADA MMOJA MSOMALI MUHABASHI HAKUNIWACHA HIVI HIVI ALIKUJA KUPOKELEWA NA BONGE LA GARI ALIHAKIKISHA MPAKA NIMEFIKA KWETU SALAMA NA FAMILIA YAO NIWATU WENYE ROHO NZURY SANA SITOWASAHAU KATIKA MAISHA YANGU,NA KUHUSU KUTAHIRIWA KAMUULIZE BIBI YAKO YE PIA ALITAHIRIWA SO NIMAMBO WALIYOKUWA MANAPRACTICE MABIBI ZETU BT NOT THIS GENERATION,HATA TANZANIA WALIKUWA WANATAHIRI WANAWAKE MPAKA ILIVYOPIGA MARUFUKU SO USIPENDE KUSEMA JAMBO AMBALO HUNA UHAKIKA NALO,HAWA WATOTO WANAJUA MAPENZI NA NDOA ZAO NYINGI HAZIHARIBIKI NA HAWAJUI KUTOKA NJE YA NDOA WANATOSHEKA NA WAUME ZAO SO KA WABONGO UNAOA MKE KUMBE ANACHUNA NJE KA WE ANONY.WA 5.31,UNAWASEMA WATOTO WA WATU VIBAYA KUMBE WE NDO UNAFANYAGA HIVYO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...