KATIBU MKUU WA UMOJA WA VIJANA WA CCM MARTIN SHIGELA MWENYE TREKSUTI KUSHOTO KWAKE RIDHIWANI KIKWETE WAKIWA KATIKA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA WAKIWA KATIKA KIJIJI CHA MCHARO WILAYA YA BUNDA
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MARA MAKONGORO NYERERE AKITWAHUTUBIA VIJANA WA MATEMBEZI WALIPOFIKA MPAKANI MWA MARA NA MWANZA KATIKA VIWANJA VYA MASHAMBA YA NYANZA FARM.


WAZIRI WA KILIMO USHIRIKA NA CHAKULA STEVEN WASIRA AKIMKABIDHI FEDHA KIONGOZI WA TIMU YA AFC LAMADI MCHANGO ULIOTOLEWA NA VIANA WA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI WA TIMU HIYO NA VIJANA WA MATEMBEZI ULIOFANYIKA UWANA WA LAMADI TIMU YA AFC IMESHINDA 3--1.
JUU VIONGOZI WA MKOA WA MWANZA NA MARA WAKIKABIDHIANA VIJANA WAMATEMBEZI KWA KUTEMBEA NAO KATIKA KIJIJI CHA MPAKA WA MWANZA NA MARA. CHINI VIJANA WA UMOJA WA VIJANA WA CCM WAKIKATA MBUGA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SEREGENTI WAKIELEKEA MKOA WA MARA NYUMBANI KWA BABA BUTIAMA.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. wizi mtupu, mafisadi wote hawa hawana lolote.

    ReplyDelete
  2. aliupenda muungano ndugu kweheri tutaonana alidumisha mapambano ndugu kwa heri tutaonana

    NDUGU WA TANZANIA MWALIMU KATUTOKA HATUTAMUONA TENA MWLM NYERERE
    KIUMBE MWADILIFU NA KIPENZI CHA WATU
    HATUTAMUONA TENA MWALIMU NYERERE
    AKITUHUTUBIA NAKUTUELIMISHA

    sasa twende wapi tukapate ushauri
    kinza kimentanda hatujuwi pa kukamata
    julias nyerere baba wa taifa letu mwenze ndugu yetu mwalimu mwalimu nyerere

    bado tuna kulilia mwalimu umetuacha wakiwa mafisadi wanazidi kuota kucha na wanatuparua nazo kwani hatuna mtetezi

    ReplyDelete
  3. huyo ridhiwani kikwete ndio rais wa 2030 au?

    ReplyDelete
  4. MIMI BINAFSI NIMEFURAHISHWA NA VIONGOZI KWA KUCHUWA HATUWA YA KUMUENZI MWALIMU ILA KAMA WAO SI WANAFIKI INABINDI WAMUENZI NA MAMBO YOTE KAMA KUWA WAZARENDO,KUULINDA MUUNGANO,KUITOKOMEZA RUSHWA NA SI WAO WENYEWE KUWA WALIMU WA RUSHWA,KUTOKUSAINI MIKATABA KWA MANUFAA YAO N.K
    MICHUZI NAOMBA USINIBANIE PLZ

    ReplyDelete
  5. MIMI BINAFSI NIMEFURAHISHWA NA VIONGOZI KWA KUCHUWA HATUWA YA KUMUENZI MWALIMU ILA KAMA WAO SI WANAFIKI INABINDI WAMUENZI NA MAMBO YOTE KAMA KUWA WAZARENDO,KUULINDA MUUNGANO,KUITOKOMEZA RUSHWA NA SI WAO WENYEWE KUWA WALIMU WA RUSHWA,KUTOKUSAINI MIKATABA KWA MANUFAA YAO N.K
    MICHUZI NAOMBA USINIBANIE PLZ

    ReplyDelete
  6. Nasikitika sana kuona vijana wakitembea kwelekea butiama hii inamanisha nini kwamba mwalimu alikuwa mtembezi? Nilitegemea tumenzi kwa kujikumbisha siasa yake ya ujamaa na kujitegemea kwa mfano kufanya usafi katika miji yetu, uzibua mitaru, unajua ni kiasi gani cha fedha kinapotea kwa kutembea tu kwenda butiama au tugewaleta FFU pale ubongo stand wawafukuza wapigadebe waende vijiji wakaendeleze siasa ni kilimo. si tu watu kutumia fedha ya walipa kodi kwenda butiama then what, tubadirike watanzania nafanya mambo yenye manufaa kwa taifa letu

    ReplyDelete
  7. Advocate JashaOctober 14, 2009

    Kwa viongozi wengi wa CCM na serikali
    Hawastahili kwenda butiama kumuenzi Baba wa taifa kutokana na vitendo vyao vya kifisadi na kinyume cha maadili aliyosisitiza katika hotuba na vitendo vyake.Itakubarikika kwamba wakitumia muda huu kwenda kutubu na kuungama makosa yao.Vinginevyo vitendo vyao vya kwenda kumuenzi Baba wa taifa nisawa NA KUINGIA NA VIATU MSIKITINI!MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  8. MIMI KWA SASA NAWANYEKEA KIDOGO MAFISADI NDANI YA CCM ILI NIFIKE NAFASI YA JUU YA HATA URAIS LAKINI NIKIFIKA JUU TU NITAWAGEUKA MAFISADI WOTE, NA NITAWATIA NDANI WOTE, KAMPENI ZANGU NDIO NAANZA KWA KUGOMBEA UBUNGE.

    ReplyDelete
  9. sasa wewe Michuzi ndiyo uko wapi hapo?
    au wewe uko kwenye gari unawapiga picha wengine wakitembea.
    piga kwata na wewe

    ReplyDelete
  10. mbali ya issue ya siasa nimependa sana hii vijana kutembea mpaka Butiama. Namuona Mohammed Moyo akimpa Makongoro mkono kwenye picha na mimi nadhani Mohammed anaongoza vijana vizuri sana. nimefurahishwa sana na hii.

    ReplyDelete
  11. sasa huyo ridhiwani mbona hajavaa tshirt ya nyerere ambayo ndio imeandaliwa rasmi kwa matembezi hayo ya kumuenzi, au mtoto wa rais lazima atoke different?!!! hovyooo anauza sura tu huyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...