Mkurugenzi wa Clouds Mediaa Group/Prime Time Promotionsa Bw.Joseph Kusaga akimsikiliza mstahiki meya wa Musoma Bw. Swahibu Mohamed Iddi alipozindua tamasha la fiesta 2009 usiku wa kuamkia leo katika ufukwe kwa hoteli ya Penninsula ambapo pia kulifanyika utambulisho wa masafa mapya za redio ya Clouds Fm mkoa wa Mara 98.6fm
Msanii wa Les Familia Chid Benz akikamua kwenye tamasha la fiesta usiku wa kuamkia leo

M-Mr blue akiimba mbele ya wakazi wa musoma mkoani Mara usiku wa kuamkia leo katika tamasha la fiesta one love lililofanyika katika ufukwe wa hoteli ya penninsula
Umati wa watu uliofika kwenye tamsha la fiesta one love 2009 usiku wa kuamkia leo
Msanii Juma Nature kutoka kundi la wanaume halisi akikamua mbele ya wakazi wa musoma usiku wa kuamkia leo katika tamasha la fiesta 0ne love 2009





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyo dogo Mr. Blue akirudi shule mimi nitamualika aje ku-perform hapa george washington university, kuna dau la $10,000

    ReplyDelete
  2. NSHIMIMANA aka DUMISANEOctober 17, 2009

    WAIMBAJI WA KITANZANIA WAMECHOKA SANA SIYO KAMA WA KWETU BURUNDI, KILA MUMOJA KAPAYUKA MUFUPI MUFUPI SIJUI NI CHAKURA BOLA AMA NI MULO WA PUMBA/UGALI KILA SIKU NA SUKUMA WEEK?

    ReplyDelete
  3. Hawa vijana wamejitahidi kidogo kuvaa surualikaputura vizuri, kunawalewengine ambao wanavaa kwa kushusha sijui wanaita kata k cjui?

    ati haaa mtu anavaa suruali mpaka chupi unaiona maana yake nini? ushamba tu!

    mkulima

    ReplyDelete
  4. WEWE DUMISANE FALA TU HATA KISWAHILI HUJUI MSHAMBA SANA KAMA TUMEPAKUKA INAKUWASHA NINI TAFUTA BWANA USITULEETEE ZA KULETA HAPA, SHOGA NINI?

    ReplyDelete
  5. Clouds FM wanajitahidi sana, wako juu, kuna wakati tour kama hizi za kufika musoma zilikuwa unheard of. Natumaini kushirikiana nao siku za mbele ili tufike kisangani hadi banjul. SabaSeven Entertainment inakuja (sabasevenworld.com inafunguliwa karibuni).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...