Rais wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) na Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano la Tanzania Mh. Samwel Sitta akila taswirazzzz katika hifadhi ya taifa ya serengeti mchana wa leo wakati wa ziara ya siku moja aliyowaandalia wajumbe wa mkutano huo unaofanyika A-taun ambapo walitembelea sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Zanzibar, Ngorongoro, Manyara, Tarangire pamoja na Mlima Kilimanjaro
Mh. Sita na wageni wake pia walitembelea Kempinski Bilila Lodge iliyo ndani ya Hifadhi ya Serengeti na ambayo majuzi imetangazwa kuwa hoteli bora kuliko zote Afrika mashariki na kati
wageni waliona wanyama wengi sana leo, hawa ni nyati 




fantastic idea, ingawa that means millions of shillings to Tanzanians, naamini inasaidia kufanya promotions ya tourist attractions zetu.
ReplyDeleteNanihii hiyo picha ya simba anakatisha umeiramba vizuri kweli, kweli nimekukubali kwa kipaji cha picha! big up anko nanihii.
ReplyDeleteMichuzi, picha hizo zimekaa sawa mno. Uwe unazipiga "watermark", ili wazushi wasizifanyie uzushi.
ReplyDeleteahsante Hon.Six ze fulanazz bab kubwa inabidi na mithupu apate kama hiyo.
ReplyDeleteMichuzi ulitoka ndani ya gari kupiga hiyo picha ya simba nini? Nashangaa kwa nini hakukushitukia. Picha zimetulia sana.
ReplyDelete