





Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
anko, kwa kweli unafahamu kula nchi kwa njia mbalimbali. shukrani. thanks-a-million for the informative pictorial narratives. shukrani.
ReplyDeletewathenia walisema, "a picture is worth a million words."
anko kwenye huo uzi wa carlsberg wakati wa kula konozz umetoka bomba sana nana kale kafulana kapo jalalani je wewe ulisaidia kidogo manake najua hukuwa biiize kufotoa tu anyway kazi nzuri ila bustani imepauka sana na pia hakuna flowers zenye mvuto kupo kawaida sana hivi kakuna shamba boy huko??
ReplyDeletemiss michuzi
THIS IS SOMETHING BEAUTIFUL EVER HAPPENED, I LOVE THIS AND AM SO MUCH PROUD OF THOSE ARTISTS AND I WISH MANY OF US TO DO SOMETHING FOR THE LATE MWALIMU
ReplyDeleteAnko pamoja na yote hivi ni kweli hao wasanii hapo walikukuwa "wakipizi" au wakipozi? tafadhali rekebisha hilo kabla hujashambuliwa na wanablog wako.
ReplyDeleteMdogo wako - Ughaibuni.
Ahsante sana uongozi wa ASET kwa kubuni na kuratibu shughuli ya kihistoria kama hii. Kwa kweli wasanii wote wa luninga na twangapepeta mnastahili sifa kwa kuwajibika ipasavyo. Bila kukusahau wewe Mzee wa nani hii kwa kushiriki pia kwas njia moja au nyingine.
ReplyDeletekaka hebu rekebisha kwanza hii kauli chini!!!, ...wakipozi na sio wakipizi
ReplyDeletebaadhi ya wasanii hao wakipizi baada ya kazi
Picha ya mwisho wanaPIZI sio, nimeipenda hiyo.
ReplyDeleteHivi kweli kabisa hiyo familia ya baba wa taifa wanashindwa kufanya usafi/ kutengeneza bustani wenyewe mpaka wakasaidiwe? Na hapa Michuzi hajatunoesha "before" pictures, kwamba palikuwaje hadi uongozi wa ASET ukaamua kupashughulikia!!
ReplyDeleteHata sisi wengine tumefiwa na baba na familia zetu ni za kawaida kabisa lakini tumeendelea kutunza mandhari nyumbani!!
Duh! Aibu. Au basi serikali ipachukue kama sehemu ya Makumbusho ya Taifa kama hampawezi?
MBONA KING OF COMEDY MR.KINGWENDU SIJAMUONA? AU YUPO UWANJA WA FISI ANAPIGA MATAPUTAPU KWA KWENDA MBELE?
ReplyDeleteHii safi sana, pengine watatumia tasnia yao kuhamasisha kizazi kipya kupiga vita ufidhuli ambao baba wa taifa alipigana nao hadi kifo chake.
ReplyDeleteKwa hiyo usafi unafanyika mara moja kwa mwaka?
ReplyDeleteHuu wizi mtupu, eti kusafisha ina maana hakuna wafanyakazi hapo wakutunza nyumba na kusafisha, ndio maana ina bore sana kila siku kusikia mambo ya ujamaa , ina maana ujamaa ni uchafu na kutosafisha sababu eti uko simple?
ReplyDeleteKama kweli mlitaka ku muenzi baba wa taifa nadhani mlihitaji kufanya hayo kwa watu lio kweli na mahitaji ya msaada, , mnge safisha meeneo ya sio safishwa au hata kwenda picknic na watoto wa mitaani , kuliko eti kusafisha huyo Mansion hapo wakati ina wafanyakazi wa kumwaga ndani
anony 15.9:00 kweli umeshiba maharage.vuta vuta time ukalale.
ReplyDeleteWe mjuba hapo juu(Oct 15,9:00) hueleweki kinachokutatiza ni nini Ujamaa? wafanyakazi wa ndani? au wasanii? Inawezekana uko frustuated so kila kitu kwako ni kero.Jaribu kutulia au kufanya mazoezi ya mwili kabla hujaenda next level.
ReplyDeleteSafi sana Michuzi na uongozi wa ASE.
ReplyDeleteHata hivyo, usafi wa mazingira ya kwa Nyerere uendane na wa miili yao wenyewe kila siku. Wapunguze mapouda na michubuo. Na kama kuna wanaopuliza mioshi inayosababisha uchizi waache kabisa!
Halafu nguo walizovaa leo akina dada wa Twanga zimewapendeza na wamekuwa watoto wazuri kuliko zile zao za kila siku majukwaani. Kama mnaweza kuona aibu kwa Nyerere oneni aibu pia Lidaz klabu,sigara na hata kwa Biliz.
Michuzi hii huwa aiminywi maana ni wosia!
NILITOWA WAZO KAMA HILI, HIVYO NDIVYO INAVYOTAKIWA, SIKU YAKE WATU WAJITOLEE SEHEMU MBALI MBALI KUFANYA USAFI NA UJENZI NA MICHANGO MBALI MBALI, NAWAPA HONGERA WASANII NA MOYO WAO SAFI
ReplyDeleteKWELI TANZANIA BADO NYUMA.KIONGOZI KAMA MWALIMU NYUMBA YAKE CHAFU????hadi twanga pepeta wakafagie?????
ReplyDeletemdau money uk.