Global Engineering and Technical Services Co. LLC web site inatafuta Civil Engineer katika majumba.
Awe na degree na pia experience miaka 5 kwenda juu.
· Mshahara mzuri
· chumba fully furnished.
· Siku 30 leave kwa mwaka
· Return Ticket.
Note: Company website: http://gets-co.com/
Sehemu ya kazi: Oman, sultanate of oman.
Ku-apply tuma cv kwenye e-mail:
Ulaya1959@yahoo.co.uk
· Mshahara mzuri
· chumba fully furnished.
· Siku 30 leave kwa mwaka
· Return Ticket.
Note: Company website: http://gets-co.com/
Sehemu ya kazi: Oman, sultanate of oman.
Ku-apply tuma cv kwenye e-mail:
Ulaya1959@yahoo.co.uk
...chumba au nyumba? Tusirudishwe kwenye vyumba vya kupanga tena...!
ReplyDeletetangazo zuri lkn huyo ambae unapeleka cv kwake mboni hajaweka ful info zake na hiyo e-mail tutaamini vipi yahoo id wakati website ina mailserver yake
ReplyDeleteUlaya1959@yahoo.co.uk!!!!
ulaya1959@yah....
ReplyDeletekwa nini unataka CV za watu ili iweje weye nani kwani hatuwezi wasiliana na company moja kwa moja.
umetupa website na contacts
Mie ushauri wangu kwako kama weye ni agent wa kusaidia kutafutia watu kazi basi jitangaze details zako i mean contacts zote hadi anuani.
sidhani kama mie hata kama nataka hiyo kazi nitakutumia weye vipi kama weye unatumia kutengenezea wengine etc
kila siku unaweka e-mail jina hakuna eti nikutumie CV unachekesha kweli
kama ningekuwa nataka hiyo kazi ningewapigia wenye kampuni wenyewe...
unaomba CV halafu iweje...sema ufanyalo acha vya kupitia misituni toka nje ueleweke
Jaribuni kuheshimu taaluma za watu vinginevyo hamtapata watu. Engineer mwenye uzoefu wa miaka mitano aende akaishi kwenye chumba kweli?
ReplyDeleteJaribu kuangalia nchi nyingine zilizoendelea zinavyojua kuhamisha na kuvutia wasomi, sio unawatangazia watu chumba.