Michuzi na wadau cheki nanihii akichimba dawa.
Mdau Selous

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. HUYU TEMBO JINA LAKE ANAITWA " KIGONGO JAZZ BAND" MAANA KAJAALIWA KIPANDE CHA MUHOGO OUNDA HAONI NDANI

    ReplyDelete
  2. Watu wanasema punda punda kumbe Tembo kiboko yao du mzizi huu Nomaa

    ReplyDelete
  3. eh!Kumbe tembo ana miguu mitano ?miwili ya mbele na mitatu nyuma!

    ReplyDelete
  4. Inasemekana na watafiti kwamba mzee mzima ana kama mita 1 hadi 1 na nusu hivi. na ki2 kikitaka kutapika ni lita 5 at once!!!!!!!!!!!!!!!!!!


    fire

    ReplyDelete
  5. mwanangu mwezi ulioputa nilikuwa manyara niliambiwa dude lake kilo 25 na nikipenya linamwaga supu ya kilo 25 alafu mtu usinenepe? sio ma human being ka kijiko? ndo maana kinamama hatunawiri

    ReplyDelete
  6. Jamani jamani, muogopeni Mungu, maneno gani hayo waungwana? ila kweli mwenzangu dude lake sio mchezo, au jamani usikute ana mabusha na matende, kwani wamepata chanjo hao?

    ReplyDelete
  7. hahahahaaaa uwiiii hahahaaaaa
    khaaa kwakweli ...

    ReplyDelete
  8. KIKO KITU JAMANI HATA KWAO TEMBO WENYEWE KAMA BADO BIKIRA NADHANI LAZIMA ATAPIKE NA KUHARISHA SANA FIRST DAY MAANA MPINI NI WAUKWELI SANA HUO

    ReplyDelete
  9. Hakuna cha mdau Selous wala nini - hii picha imekuwa plagiarised kutoka kwa Maggid Mjengwa at www.mjengwa.blogspot.com

    Please give credit where its due.

    ReplyDelete
  10. uuuuuuuwi kwi kwi kwiiii watu humu ndani wamenyongorota naumwa mbavu

    ReplyDelete
  11. HILO dude ni egemeo, kumbuka sayansi darasa la 5/6 mada ya NYENZO kuna vitu kama egemeo ,mzigo na jitihadi.
    Ila mazee Homo sapiens binadamu angekuwa hivyo sijui ingekuwaje kama siyo kifo kwa wa ubavu.....!
    DuuuuH

    ReplyDelete
  12. mwanangu dude la ukweli sio ma baba wetu unakuta vijidude vya ubabaishaji manzi inatakiwa kuwa katili ikipenya kweli mwili unasisimuka dude la haja,michuzi uongoooooo

    ReplyDelete
  13. huyo mdau anayesema tumwogope MUNGU.,,,MUNGU nani maana MUNGU wetu YEHOVA ndiye aliye halalisha sasa yeye anamaanisha nini? au hajaolewa/oa? sisi tulio ndoani tunaelewa.inamaana haonjagi?

    ReplyDelete
  14. Mademu wengi wameshawahi kuniambia kuwa msichana huwa anapenda style ya kijiko inavyokomba papai zaidi ya ukubwa wa kijiko. Kwa kuwa nina kijiko kidogo pengine (a) ananiiibia (b) anasema ukweli kuwa utumiavyo mashine ni muhimu kuliko ukubwa wake (c) ananipoza ili niendelee kumgharamia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...