Watanzania wa Canton wanayo furaha kuwakaribisha watanzania wote waishio Canton, Ohio, na vitongoji vyake kwenye kusheherekea pamoja nasi siku kuu ya Eid El Hadji siku ya Ijumaa saa kumi na nusu jioni 4:30pm kwenye Ukumbi wa kisasa wa:
Saifert Flower Mill
7300 Wales Rd
North Canton.
Muziki utangurumishwa na Dj Mo....
vyakula asilia vya kumwaga na vinywaji mtindo mmoja.
Upatapo taarifa hii mfahamishe na mwingine.
Karibuni sana
Kamati ya Maandalizi
Karibuni sana
Kamati ya Maandalizi
Mnapotoa matangazo kama haya muwe mnaandika na Nchi kwenye anuani. Mimi nipi Wales - UK na na ninakaa Canton. Nilihisi mnuso upo karibu na kwangu kumbe USA!!!
ReplyDelete