hapa ni chalinze mkoa wa pwani na msimu wa mananasi umeshaanza ambapo kila kona ya mahali hapa pana rundo la mananasi. bei ni kati ya mia tano hadi 2000 kutegemea na ukubwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. msimu safi sana huu matunda bei chee... lakini mzimu wa kupindipindu ndio nao umejongea... usafi kitu muhimu sana bandugu!

    ReplyDelete
  2. niko cargaly canada. kwetu morogoro tz. mdau umenikumbusha mbali sana kwa picha hii. naliona abood basi lileee kwambaaali. duh poa sana hii

    ReplyDelete
  3. Yaani wewe acha tu kwani watanzania tutakufa masikini tu yaani msimu wa kuozesha mananasi huku twanunua pinaple juice from south africa tunashindwa kuanzisha viwanda vya usindikaji .....kwali zidumu fikra zilizolala za watanzania na viongozi wake ....ZIDUMU DAIMA...

    Mdanganyika....Ughaibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...