Home
Unlabelled
president kikwete meets chinese prime minister
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK mwambie basi bwana huyo waziri mkuu wa china, mwambie usimchelewesha... na kuaminia mwambie basi kuwa eti eti eti! tunaomba msaaada kidogo wa pesa za kujengea barabara ilioko Dar es salaam kutoka Moroko mpaka boko kupitia mbezi beach iliiwe Double Road.Sisi wenyewe tumeshindwa kabisa kupata funds kwani pesa zote tumenunulia mafuta ya kuendesha mitambo ya IPTL.Kama akileta za ubishi mpe mwaliko aje mwezi ujao bongo ashuhudie foleni ya magari yaendao mbezi beach. Ukirudi bongo, wape salaam viongozi wateule wa JIJI. WAACHE WAENDELEEE KULALA USINGIZI WAPONO.
ReplyDeletemichuzi naona rais wetu anazidi kuwa handsome na suti zinamkaa kama obama mtoto?
ReplyDeleteHivi hizi safari za Kikwete zina manufaa kweli? Sijawahi on rais anayezurura kama huyu...miaka nenda miaka rudi...kila siku yuko barabarani? Anakimbia bongo pamemshinda nini?
ReplyDelete