President Jakaya Mrisho Kikwete meets the Chinese Prime Minister Wen Jiabao at Sharm el Sheikh, Maritim Golf hotel this evening.President Kikwete is in Egypt for the 4th ministerial conference on China- Africa Cooperation. Photo by mdau Freddy Maro of Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. JK mwambie basi bwana huyo waziri mkuu wa china, mwambie usimchelewesha... na kuaminia mwambie basi kuwa eti eti eti! tunaomba msaaada kidogo wa pesa za kujengea barabara ilioko Dar es salaam kutoka Moroko mpaka boko kupitia mbezi beach iliiwe Double Road.Sisi wenyewe tumeshindwa kabisa kupata funds kwani pesa zote tumenunulia mafuta ya kuendesha mitambo ya IPTL.Kama akileta za ubishi mpe mwaliko aje mwezi ujao bongo ashuhudie foleni ya magari yaendao mbezi beach. Ukirudi bongo, wape salaam viongozi wateule wa JIJI. WAACHE WAENDELEEE KULALA USINGIZI WAPONO.

    ReplyDelete
  2. michuzi naona rais wetu anazidi kuwa handsome na suti zinamkaa kama obama mtoto?

    ReplyDelete
  3. Hivi hizi safari za Kikwete zina manufaa kweli? Sijawahi on rais anayezurura kama huyu...miaka nenda miaka rudi...kila siku yuko barabarani? Anakimbia bongo pamemshinda nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...