niko na mwenyeji wangu sam shelukindo katika vekesheni ya buja ambayo imeshafika
ukingoni na narudi bongo kuendelea kula vumbi. pamba isikutishe mdau nilimbomu sam baada ya kutaka kutoka na ze fulanzzzz
vekesheni huwa haikamilikigi bila ya kula konozzzzz na mikwaju ya huko


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ima (Ntila Junior)November 09, 2009

    nice Job. Tume buludika na kuelimika na pia Mpe pole sam kwa kufiwa na dada yake.

    ReplyDelete
  2. Pole Sana Samshelu kwa kumpteza dada. Ni kazi ya mola haina makosa.

    your foreign affairs colleague!

    ReplyDelete
  3. hawa wanawake wa kitutsi michuzi ukionja tu penzi lao baasi,,hata bongo huludi kabisaa!Nakushauli iwe konozzz tuu usiingilie mazingila ya penzi,,,watusi ni balaa kwa utamuzzz kuliko the bantuuuzzz.

    ReplyDelete
  4. michuzi mbona ulikokuwa kulikuwa na vumbi tena sana kushinda hata nyumbani bwana!!acha kuponda home

    ReplyDelete
  5. Aminia ambassador in the making Sam, proud of you bro, pole sana na msiba,
    Alphabet st.brother.

    ReplyDelete
  6. du mshkaji utadhani king mswati wa swazilandi... kwa mademu?! anao msululu

    ReplyDelete
  7. Bro, suti za mikono mifupi zinakutoa swafi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...