Mwanamuziki wa kizazi kipya, Mwanaisha Saidi Nyange ‘ Dayna’ aliyewahi kutamba mwaka 2008 na wimbo wa ‘ Mafungu ‘ akielezea jambo wakati wa semina ya wasanii juu ya mchango wao wa kupambana na rushwa ambayo iliandaliwa na Takukuru mjini morogoro na kushirikisha wasanii 45 wa mjini humo. Picha na John Nditi.
Home
Unlabelled
wasanii morogoro wajadili rushwa katika fani yao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mkutano ulikuwa bomba. Ukumbi wa VETA Morogoro pia bomba nawashukuru kwa huduma poa. mdau
ReplyDelete