Hey all!
pleeeease let people know that ngoma
toka kwa BEEZY ''They Don´t Wanna See'' feat. CPWAA inapatikana for free at:
http://usershare.net/y0r7t6otqr8u
And also the Video which was shot in TZ is available at
or
www.youtube.com/beezymusic

Beezy´s Mixtape "THE B-DAY" is coming
out 15.02.2010 and also for FREE

Support the Movement!
TZ Pamoja All DAY
Thank YOU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hawa nao hawajui kama biashara ni matangazo, sasa wanafanya nini huko ghalani? tafuteni sehemu zinazovutia, Director, are you serious?

    ReplyDelete
  2. dah mnaona kelele tu !!akuna kipaji hapo i can do better

    ReplyDelete
  3. if i wanna listen/watch hiphop i will watch lil wayne soldier boy or somebody... i mean true hiphop

    ReplyDelete
  4. kweli nyie wasanii wabongo mavi tu....umeshundwa kuuza unatoa bure... wajinga kweli...

    ReplyDelete
  5. daaah mkizawadiwa mnasema ameshindwa kuuza,akiuza mnashindwa kununua!!jamani before unatoa comment,you have to know about what you say!hamjui kua lil wayne au 50 Cent mpaka Jay-Z wanatoa over 10 mixtapes in one year FOR FREE?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...