Marehemu Young King (wa pili kulia) akiwa na wadau wa kijiwe cha nyumbani kwake mtaa wa Mkwepu katika mojawapo ya picha za mwisho kupiga akiwa hai hivi karibuni.


HABARI ZIMEINGIA SASA HIVI ZINASEMA ABDULHAKIM MAGOMELO MAARUFU KAMA DJ YOUNG KIM HATUNAYE TENA.

KWA MUJIBU WA SHEMEJI YAKE, MUDDY BAWAZIR, DJ YOUNG KIM AMEFARIKI KIASI CHA MASAA MAWILI YALIYOPITA AKIWA KATIKA MATIBABU KWENYE HOSPITALI MOJA YA BINAFSI INAYOSHUGHULIKA NA MAGONJWA YA MOYO MAENEO YA MANZESE JIJINI DAR.

DJ YOUNG KIM ATAKUMBUKWA KAMA MMOJA WA MA DJ WAKONGWE WALIOASISI MAMBO KADHAA NCHINI IKIWA NI PAMOJA NA KUPIGA DISKO TOTO (RUNGWE OCEANIC NA BAADAYE MOONDUST DISCO) MASHINDANO YA KWANZA YA KUCHEZA DISKO (YALIYOWATOA KINA BLACK MOSES NA OMMY SYDNEY) PAMOJA NA YO RAP BONANZA (ILIYOMTOA RAPA BORA WA KWANZA WA KISWAHILI SALEH JABIR).

GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUFUATILIA HABARI HIZI ZA KUSTUSHA NA KUTOA TAARIFA ZAIDI KILA ZINAPOPATIKANA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Zepporah Gondwe
    NOOOO WAY .FUCK THAT WHAT a r u talking about....FUUUUCK THAT,HIS TOO YOUNG TO GO...NO WAY BRO michuzi im so sad why why why.what happen to him jamani...oohhh kim u made me dance in urafiki after i came back from kenya...ohhh god im so sad ,om my lord kim ,what the hell,im craying jamani kimu wangu,imekuwaje mzee wa kijiwe nini jamani,fuck fuck fuck... u made me rap in anex bila pereparation yeyote..i love u kim,and i miss u kim ,machozi yananitoka im so sad bro.what happen 2 u.if its true RIP.no way bro,no way im so sad and apset,u worn me when police where looking for me in lanGATA,KINONDONI,damn kim what happen.ohh LORD,SHYT DAAAAAMBN

    ReplyDelete
  2. yeah michu kama utakumbuka na kurudi kwenye data base zako ,nilikuomba namba zake na detail zake,ukaniminyia,no way kim katutoka i cant bealive,mie blacl lover s wa mcheza disco nalia sana,manake alipigana na john ngogo kipindi ile kutetea disco na akifanyta ni rapa bila mazoezi na kunifanya nitoe show bila mazoezi pia.. u rock kim...REPERESENT BRO... I LOVE YOU U ROCK..I MISS U 4 EVER.U RESCURE ME FROM THE OPICE..I LOVE U ..AND REST IN PEACE,SAY HI TO MY MOM AND MUSSA SIMBA BLACK MOSES.I DONT AMINI UR GONE.

    ReplyDelete
  3. Poleni sana familia, pole sana Muddy. Mwenyezi Mungu aiweke mahala pema peponi roho yake, amin.

    Kazi upo? Sijakuona siku kibao. Huyo kijana wa-ki-asia bado ana duka la CD? Natafuta sana duka lake

    ReplyDelete
  4. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema, tuendelee kumuombea dua la kheri marehemu na kisha tuyaenzi mambo yote mema aliyoyafanya. AMEN

    ReplyDelete
  5. RIP dj Kim,unanikumbusha mbali sana.enzi za Rungwe Oceanic kwa mzee Mwakitwange,hakika ilikuwa furaha sana ukiwa kibandani'
    rest in peace -Ameni

    ReplyDelete
  6. R.I.P,Young Kim...mi ni mmoja wa mashabiki wako...nakumbuka kila weekend mzee alikuwa anatupeleka Rungwe Oceanic [kwa mzee Mwakitwange]those were really good times,you did your thing maan! May God Rest Your Soul In Peace!

    ReplyDelete
  7. huyu si Kim and Boys,wape pole sana wafiwa,mungu amueke mahali pema peponi

    ReplyDelete
  8. Rico-Star wa W.W.A.December 16, 2009

    RIP Kim, Mimi nilishiriki Yo rap bonanza 1990 na kushinda nafasi ya nne. namkumbuka sana Kim kwani alikuwa ni jamaa mmoja safi sana, alikuwa mtu mwenye courage na upeo. Yaani bila huyu jamaa hata mimi nsingeweza kurap pale New Africa Hotel kwani ilikuwa mara yangu ya kwanza kushiriki mashindano makubwa kama hayo lakini yeye aliniambia simple tu ' you can do it'.

    ReplyDelete
  9. RIP Dj Kim, still remembering those good old days at Rungwe Oceanic.
    mdau UK

    ReplyDelete
  10. mie kimya.

    ReplyDelete
  11. R.I.P Nakumbuka Rungwe Nilikuwa Bw Mdogo naruka majoka katikati ya uwanja kumbe yeye ndio alikuwa akipiga. 1987. MZ

    ReplyDelete
  12. Alikuwa mtu wa watu.Always smiling,Kila tukikutana lazima tupeana salamu za heri.
    RIP Kim

    ReplyDelete
  13. RIP DJ Young KIM

    ReplyDelete
  14. Dah...nakumbuka Kim na fegi yako mwenyewe unatuelekeza sehemu pale mjini, binafsi sikukujua kipindi cha enzi hizo lakini nakukumbuka tulivyokuwa tunakutana mjini nikiwa na mshikaji wangu wa kitaa, mitkasi na makila kitu Kim ulikuwa unainyaka, yani wewe ndio mtoto wa mjini, wengine wote famfa, copy tu...cant say much but may the Almighty God put your soul to RIP, Amen.

    ReplyDelete
  15. ..Inna li-llahi, wa Inna Illahi Raj'un! (ILIR)..

    ReplyDelete
  16. huyo mtoa maoni wa kwanza kasoma sana kizungu.anakizungu kizuri sana na anasikitila kwa kizungu. Lo kweli anajua kizungua

    ReplyDelete
  17. duh nakumbuka enzi za lang'ata mzee bachu,brigedia mayunga,omy sydney,fresh xe nk kwa kweli.....RIP

    ReplyDelete
  18. Last time we met, uliniita I was in a rush kutafuta zawadi ya harusi for a friend, 25th November 2009 was the day. I told you i was in a rush na kwamba nikimaliza harusi ntakuja home kumsalimia mama na shemeji na dogo kisha tuongelee mpango mzima wa your comeback. We spent less not more than five minutes, looking back now, if i had known that i will wake up one day, and you will be gone, I would have stayed all day.

    I know you are with the angels now, its hurting but am praying that you are in a better place.

    Rest in Peace Kim my Brother.

    ReplyDelete
  19. Rest in Peace Dj Young Kim!

    ReplyDelete
  20. Rest in peace

    Kuna jambo linanisukuma kueleza wadau hapa lakini bila kuharibu maana na kutokueleweka vibaya.

    Hii picha inaonyesha DJ akiwa na stick ya sigara mkononi, na kwa taarifa msiba DJ alikuwa yuko kwenye hospitali inayohusika na magonjwa ya moyo.

    Sasa ili kusaidia wanajamii ambao bado wanaishi naona ni vyema kabisa kutoa dukuduku langu la kisayansi kukumbusha wadau uhusiano wa kuvuta sigara na magonjwa ya moyo. Tafiti za kisayansi zinaonyesha kuwa uvutaji sigara unachangia sana katika magonjwa ya moyo. Hapa sina uhakika kama hivi ndivyo ilivyokuwa kwa DJ wetu.

    Wale tunaovuta wa sigara naomba tuangalie sana ili uvutaji wa sigara kwa maanufa ya afya zetu na kwa wale wanaotupenda. Ugonjwa wa moyo ni silent killer, hii ina maana wakati unatokea unakuwa tayari umeweka mizizi kwa muda mrefu.

    Of course at end of the day everybody will die for whatever reason, but it is better to take care of our health if we can do so that we can live a bit longer in this world with those who love us.

    Rest in peace.

    ReplyDelete
  21. R.I.P KIM.. KAMA NDOTO VILE, I REMEMBER WE USED TO HAVE FUN AT CBE CLUB, SALAMA BAR AND ZANZIBAR WITH JOSEPH BURENGELO.. DAH.. IT IS SOO SAD MAN..
    MOLLAH KAKUPENDA ZAIDI BRO.. AND IM SURE ANGELS ARE WITH YOU RIGHT NOW..
    REST IN PEACE KAKA..

    ReplyDelete
  22. Hivi huyu ni Hassan wadat au?? hiyo ni anga zako pia...aise hupitwi wewe msomali, inaonekana mambo yako sio madogo eeh! haya bwana

    ReplyDelete
  23. Kaka nimehuzunika sana,ila ningependa kifo cha ndugu yetu kiwe ishara kwa wanamuziki wanaotanguliwa wapewe nafasi za kuwakumbuka kwenye matamasha maalum,wametangulia wengi lakini sioni dalili ya kuwaenzi tuanze na huyu ndugu yetu wahusika wa burudani naamini mmenielewa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...