Leo ni siku ya ukimwi Duniani,
Nimeona nitumie opportunity hii ili tukumbushane na Watanzania wenzangu na hata walio sio watanzania kwani hili ni tatizo kwa kila nchi na kila jamii hapa Duniani.
Hili tatizo la Ugonjwa huu wa ukimwi(AIDS)Lemetukabili na inabidi tulichukulie serious na tulipe umuhimu sana kwani limetuathiri sana na linaendelea kutuathiri kuanzia wazee, vijana na hata watoto katika jamii.

Naomba tuwe mstari wa mbele katika kwenda kupima na kujua msimamo wetu na vilevile kuwakumbusha watu wengine kwenda kupima na bila kuogopana.
kwa mfano mtu anapopata mchumba basi asisahau kumkumbusha mwenzake kwenda kupima kwani kufanya hivyo kutaokoa maisha ya wengi hasa ukizingatia wengi wanaoambukizwa katika jamii yetu wameambukizwa na waume au wake zao kwa kuogopa kukumbushana kwenda kupima.
Na baada ya kupima utapata ushauri mzuri toka kwa daktari wako katika jinsi gani ya kujiepusha zaidi hata kama uwe unao ugonjwa au huna.
Katika siku hii ya ukimwi duniani kama wewe ni mtanzania basi tumia fursa hii kumkubusha mwenzio kuhusu hili suala hata kama hataki kusikia lakini yatakuwa yamemuingia akilini.

Naomba kwa mwenye kutaka ushauri zaidi kuhusiana na ugonjwa huu basi awasiliane nami kupitia.......
aljabry@comcast.net
Kumbuka sio lazima ujitambulishe kwa jina unaweza kutumia jina lolote ili kuondoa wasiwasi.

-Buhite Aljabry

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tanzania demands UN apology

    By Jesse Kwayu

    30th November 2009

    It is over a report accusing her of secretly arming a Hutu rebel group


    Foreign Affairs and International co-operation minister, Bernard Membe
    Tanzania has demanded an apology from the United Nations over allegations that she was among 25 countries illegally supplying arms to a Hutu rebel group in the Democratic Republic of Congo (DRC).

    An enraged Foreign Affairs and International co-operation minister, Bernard Membe yesterday termed the accusations contained in a controversial UN report as a concoction with evil intentions.

    Membe told a press here that the report claimed to be authored by a UN Group of five experts was malicious, not acceptable and must be ignored.

    “It is an act of hostility for which we find it difficult to remain silent. It is not acceptable. We deserve to be treated better. We deserve and demand an apology,” the minister said.

    The highly controversial UN report claims that Tanzania has been secretly sending weapons to a Hutu rebel group in the Democratic Republic of Congo (DRC).

    The UN document alleges that Tanzania is among 25 countries that form an international support network for the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), a rebel group made up of Hutu refugees from Rwanda who took cover in the DRC after the end of the 1994 Rwanda genocide of over half a million Tutsis.

    The UN report claims that some phone calls were made between FDLR commanders and high level government officials in Tanzania and Burundi.

    The report specifically accuses Tanzania of making ‘significant’ delivery of weapons and ammunition via Lake Tanganyika to the FDLR, saying that Tanzanians are motivated by the need to retain influence over illegal trade with Congo.

    Membe expressed the government’s surprise and dismay at the report which he said was designed to tarnish Tanzania’s good image.

    He emphatically said Tanzania has never and will not even contemplate to indulge in such despicable, reckless and worthless causes of trafficking arms which will fuel conflicts and fighting in neighbouring countries like Rwanda and DRC.

    The minister reiterated his country’s position in the Great Lakes regions as a safe haven for refugees fleeing wars and other persecution in their countries.

    He said while Tanzania was committed to ending conflicts in the region, it will never engage in acts that will fuel such conflicts.

    According to Membe, the government has been at great pains to find out whether the reports had any shade of truth only to discover that it contained only secondhand quotes, hearsays, farfetched assumptions and extrapolation by unnamed sources.

    “The work of the group has left the government of Tanzania surprised at such level of incompetence and un-professionalism for the panel put together by the United Nations, an organization that the government considers serious and esteemed,” the minister said, adding: “We are left with no other option but to consider these allegations contemptible and malicious.”

    Membe said Tanzania neither has shops selling weapons for war nor did it have plans to establish one now or in the future.

    He said associating Tanzania with illegal arms trafficking amounted to implicating the national armed forces who are the custodian of all war weapons, when not a single arm has been reported missing from the country’s armouries.

    Membe labelled the report a fabricated lie done deliberately and with ill intentions against Tanzania.

    He asked the United Nations and everybody to ignore and treat the report with the contempt it deserved.

    ReplyDelete
  2. Mtoto wa CoastDecember 01, 2009

    Aljabry,

    Wazo zuri kabisa nami naliunga mkono kwa nguvu zote.

    Aidha changamoto ya sasa kwa dunia nzima si tu kusisitiza KUPIMA, ni pia kusisitiza UPATIKANAJI WA DAWA ZA KUWASAIDIA WAATHIRIKA. Maana kwa kufanya hivyo tunaokoa pia maisha ya wengi.

    Ukilinyambulisha hilo, waweza ona kuwa, juhudi za kuwasaidia waathirika zina faida kubwa pia kiuchumi, kijamii na hata kiroho.

    ReplyDelete
  3. suala ni kubadili tabia kwa mtu binafsi basi!!jamani tujipende na kujizuia tabia hatarishi

    izi dawa pia zina complications kibao kwa watumiaji usipime...

    ReplyDelete
  4. inabidi tuunde tume maalumu kwa ajili ya magonjwa makubwa kama haya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...