Home
Unlabelled
tupekeche pekeche na akudo impact
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Amazing talent, but absolutely no creativity. Copying congolese music styles and american hip-hop bling. It's sad.
ReplyDeleteingawa haziko stationary but constantly pekecharing lakini nazo ni pajazzzzzz tu. safi sana mkuu. usiku mwema.
ReplyDeletemdau wa pajazzz+titizzzzz
Mh! hapo juu nyie walimwengu kama Akudo wanavyosema, hamkosi kutia neno, wakati mnaenjoyi muziki.Jina limesema Akudo Impact Congo muziki.so mnategemea nini, hao ni wacongo waishio tz wanajitahidi kukombine both I think that is creativity and talent.Wlimwengu kuweni binadamu basi.
ReplyDeleteKazi ipo.
ReplyDeletemmmh tumezidi kuiga sana. muziki wa kibongo uko uko mahututi sasa. Si muda tutawasimulia watoto wetu kuwa tulikuwa na muziki wetu!!!
ReplyDeleteHizi nyimbo ni kelele tuu...watu wazima tena wanaume kutingisha viuno. Adumu Ali Kiba na Lady Jay Dee...miziki yao ina ujumbe..hawa wabongo wanaiga tuu hamna lolote...hivi zoezi la kukatika kiuno inabidi ufanyeje?
ReplyDeleteAsante ankal kwa kutuwekea kipekecho ya uswazi kwetu, anaye sema kukopi anakosea kwani ktk hii bendi ni mchanganyiko wa wakongo na watanzania.
ReplyDeleteasante kaka michuzi kwa kutuwekea pekechapekecha.tunaomba utuwekee twanga pepeta manake style yao ya sugua kisigino ilinimaliza nilivyorudi bongo for x-mas..
ReplyDeletembona huu mziki wako ni mayoe tuu...hakuna ujumbe,mpangilio zero,wanachokiimba akieleweki,
ReplyDeletebora Twanga na wengine Akudo hakuna kitu
jamani jaribuni kuwa wabunifu wa mtindo na midundo,kuliko hii tabia ya kuiga akina kofi mpaka lini?acheni uvivu wanamziki wetu mnajizika wenyewe,sasa akija mopao hapa wote kimyaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete