Home
Unlabelled
ITV na Radio One Stereo washerehekea mwaka mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kitenge kaoa jamani? mana mkaka mzuri huyo nampenda sana.
ReplyDeleteankal Farouk Karim unazidi kuwa kijana, nini siri?
ReplyDeleteGood to see you!!
(US Blogger)
MAULID, KOTI BABA LEBO IMEKAA SAWA LAKINI MIKONO MABEGANI RUDISHA KWA FUNDI AKAREKEBISHE BABA.
ReplyDeleteKwa nia njema kabisa naomba nimkumbushe kaka Maulid Kitenge, amesahau kutoa rebo kwenye mikono ya suti yake.
ReplyDeleteHongereni sana wafanyakazi wa Radio One Stereooooo. You guys look so good well dressed and truly representing. I am proud of you guys for your taste in fashion pamba zenu moto kweli kweli keep it up.
ReplyDeleteWe ndugu uliyeacha lebo kwenye suti huwa hatuachi lebo ukishanunua suti.
ReplyDeleteWanaochaga lebo ni wale wanaovaa kwa kukodi kama vile wanamuziki.
wewe annony hapo juu Rebo maana yake nini? ama kwa kingereza ulimaanisha label kwani mmezidi nyie wabongo ma L na ma R yanawachanganya. tena kama wewe sio mtu wa Musoma basi utakuwa wa Kigoma watch your R and L
ReplyDeletewewe uliesema Maulid kaacha label pole kwa ushamba wako kwani ndio styl za label za siku hizi pole sana jiapnge kabla hujatoa comments... otherwise jamani hongereni ni kweli mko representing maana ingekua media nyingine hapo ingekua issue yani mlegezo kwa sana.
ReplyDeleteJamani Kitenge suti kakodisha nanihiiii kule ndo mana lebo haijatolewa.
ReplyDeletemaulid wax umemendezaaa uko juu sana we acha tuumdau mdau hapo juu maulidi kaoa longi tuu na sasa ana wake zake wawili wa ndoa wa kihalali kabisaaa yuko uuuuup full handsome!!
ReplyDeleteni macho yamgu tu, ama kuna mmoja wao amevaa suti tofauti kwenye sherehe hiyohiyo?
ReplyDeleteSI KWELI KWAMBA KUACHA LEBO KWENYE SUTI NI STAILI ZA SIKU HIZI, ACHA UONGO, NA USHAURI ULIONIPA KWAMBA NINAPOTOA KOMENTI NIJIPANGE, SIJIPANGI SASA!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteWee dada hapo juu wasiliana na maulidi anaweza kukuoa maana ana wake wawili wa ndoa sasa bado kuna nafasi mbili VAKANTI.
ReplyDeletewewe mdau wa Tarehe Mon Feb 22, 12:47:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous
ReplyDeleteMKO REPRESENTING ni kiingereza cha wapi? kama kikristo hakipandi si ungeweka tu ki-bongo tu?
mdau wa saa 02:55:00 PM nadhani macho yako yako sawa tu, ila hao jamaa kuna wakati walikua katika taa yenye mwangu wa brown hv or something, ndio maana naona rangi kama sio moja.
ReplyDeleteAlso kaka maulidi ni kweli hiyo label ni ya kutoa, huo ni ushauri tu, lakini kama uliona kwa kwa kufanya hivyo ulipendeza then keep it up