Lady JD na Gadna wakimuunga mkono ankal
kwenye kiota cha Zong Hua usiku wa kuamkia leo
mdau musa wa East Africa Radio (kulia) akiwa na wadau wa Zain kwa jide
Jide akiwa na wadau zong hua garden usiku wa kuamkia leo. Kila ijumaa kiota hicho hufurika wadau kibao kabla ya kuhamia masaki jumapili. na kuanzia wiki ijayo jide atakuwa Savannah Lounge



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Thanx for identifying Musa who works for the Radio..but who are the rest? am kinda interested to know.

    ReplyDelete
  2. hao wa hapo juu ni zantel staff

    ReplyDelete
  3. WABOONGO POLENI KWA STAREHE,KAZI KWELI*2!

    ReplyDelete
  4. michuzi ni wadau wa ZANTEL KEEP TALKING sio Zainabu bwana!! umechemka

    ReplyDelete
  5. wow Jide. You need a hairstylist ASAP!!!!!

    ReplyDelete
  6. Mimi naomba kuuliza hii kuvaa hizi tshirt za makampuni ni ujiko au unakuwa huna nguo nyumbani?

    1:Na kama unazo kwanini hamzivai au ndiyo kuzisave na jua zikae muda mrefu?

    2:Mimi nina rafiki yangu yuko kwenye haya makampuni yanayotoa mafulana basi kila nikiwa vekesheni namuona jamaa anabadili hayo madude tu mara la blue mara njano ili mradi purukushani tu. Na nikimuuliza hamna jibu la maana au anazugazuga tu mpaka topic inapita?

    3:Maana mimi nafanya kazi pc world (box) hapa mtoni lakini siwezi kutoka na mayuniform au tshirt zao mpaka pub no way!!! sasa hawa wanawezaje kwenda nayo disco au sehemu kama hizo?

    4: Pia eti kama unakuwa meneja wa kampuni ya bia ni haramu kunywa kinywaji kingine? Wanawalipa kwenye hilo au utumwa wa kisayansi?

    Wadau naombeni majibu hasa hawa wanaovaa haya matishirt. Wale wanamuziki wa bongoflava siku hizi naona wamebadilika kidogo sasa swala ni hawa wenzangu na miye

    Mdau buckinghamshire- United kingdom

    ReplyDelete
  7. Huyo kaka hapo kulia anafana na kaka mmoja alikuwa anaishi Upanga karibu na Boyscout(enzi hizo)na shule ya Shabaan Robert akiitwa Super.

    ReplyDelete
  8. mwe mwe mwe Manka ni mzuri mweee hasa anapo kuwa hana make up. hahahaaaaa michuzi wewe ni kiboko.mto na wewe mkeo, titititiiii.

    ReplyDelete
  9. Du! mwanangu Jide unatisha bila make up afu akichanganya na vijiguo vyake vifupi anavyovaa huku usafiri wa mbagala ni taabu basi inakuwa kaaazi kweli kweli; jipende mtoto wa kike pia pata washauri wa make up na mavazi kijana atakukumbia huyo kwani yeye ndio hapendi vizuri?

    ReplyDelete
  10. nakipenda saaana kipindi cha USWAZI cha uyo kijana,,,

    mdau ata mie hainiingii akili ata kidogo iyo midude ya mi-tshirt ya kampunu jamani sijui ushamba gani uo??
    ila jibu laweza kuwa WATU KWA KUUZA SURA?HAWAJAMBO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...