wamatumbi tutafika kweli namna hii??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. habari za kazi ndugu yangu, jamaa huyu angepewa kadi nyekundu, nanona refa anamwaangalia tu..

    ReplyDelete
  2. Tafadhali wachezaji wetu TZ mchague mambo ya kuiga kama jambo la kukojoa hadharani ni aibu na fedheha kwake binafsi na kwa taifa analoliwakilisha. Hii tunasema HAPANA.

    ReplyDelete
  3. wamatumbi kwa hali hii mpira wetu utakuwa hv hv wa ushiriki tu

    ReplyDelete
  4. Na hiyo hadhira yote!! Kitu kuchimbua dawa kavu-kavu, bila hata aibu.

    Kazi kweli kweli.

    Lager hizo zinamsumbua, ndiyo maana kumbe walitota kwa Misri.

    ReplyDelete
  5. Kule Angola kwenye Kombe la Afrika mwaka huu wa 2010, EGYPT haikuwahi kukutana na IVORY COAST, hapo mjomba umetupiga changa...hiyo picha naikumbuka vizuri na ni Kombe la Afrika la mwaka 2006 kule Misri, ndio kipindi hicho Ivory Coast walikutana na Egypt na hiyo ilikuwa ni mechi ya fainali.

    ReplyDelete
  6. hii picha ilikuwa ghana mwaka juzi na sio angola.mkuu usijipeleke chini.vizuri kama utaibania.you will never walk alone.......

    ReplyDelete
  7. ADILI NA NDUGUZEFebruary 10, 2010

    Hahaha jamani. Mnaikumbuka documentary ya Profesa Mazrui the Africans? Hivi ndivyo miafrika ilivyo. Very primitive indeed.

    ReplyDelete
  8. msilaumu wamatumbi peke yao! ona lehman hapa anafanya nini

    http://www.youtube.com/watch?v=-C-ELPlAqAo&feature=related

    ReplyDelete
  9. kaka, hii haikua angola, hii ilikua ghana mwka 2008

    ReplyDelete
  10. na huyo anacheza mpira wa kulipwa ulaya!!! ama kweli africans are africans kubadilika ni ishu hata tutaishi mbinguni miaka 10 tukikanyaga bongo yaleyale

    ReplyDelete
  11. tufike wapi wakati kipindi cha nusus saaa na koche bado anauhutbiaa unabili wa uchezaji na sio kutupa njia mpya ya kubadisha gemu ili tushinde,lazima kina sie watibu nidhamu tufanze hayo.tetetetete.tutafika kimichezo kakausijali.

    ReplyDelete
  12. kwanza kabisa napenda kusema ,tabia hii ni mbaya na haijawahi kutokea ila africa,na haijawahi kufanywa na mchezazji yeyote ispokuwa mchezaji wa ivory coast!na hii inaonakena refa wa siku hiyo hakujua wadhifa wake!lakini si kwamba alivamia fani,bali huenda alishindwa kuwa na maamuzi ya haraka kwani tukio la kipekee ambalo hakudhania kama linafanyanywa na mtu mwenye akili!

    pili napenda kusisitiza kwa michuzi ikiwa kama wewe ndiye muhusika uliyepost pic hii,piki ni sahihi lakini ujumbe katika piki hiyo unaenda kinyume na historia tuliyokuwa nayo katika bongo zetu ukizingatia sisi ni wafuatiliaji wa soka,picha hii kama ilivyo sio Angola hapo,kwani "kikojozi" huyo hakupata bahati mwaka huu ya kukutana na misr "wababe wa soka africa",hivyo ukiwa unaleta taarifa jaribu kuwa makini watu wanafuatilia soka si mchezo,wana matukio yote katika mabongo yao.

    ReplyDelete
  13. msiwalaumu waafrika weusi hao waarabu ndio kabisaaaaa...pia kuna watu wa russia the most uncivilized people, kumbukeni maurtius walifanya nini neshno

    ReplyDelete
  14. Anon wa 04:27:00 pm, soma habari vizuri. Acha kukurupuka. Mweka picha hakutaja ni wapi wala ni mwaka gani...Anyway kwa taarifa yako hao wenye "Orange-Blanc-Vert" au "OBV" ni Côte d'Ivoire. Ni kawaida kabisa hapa Côte d'Ivoire watu kukojoa hadharani, wakielekeza "Anaconda" zao barabarani bila aibu.

    Mdau wa Abidjan.

    ReplyDelete
  15. mdau wa Wed Feb 10, 05:38:00 PM na comments zako za kuwa haijawahi kutokea umeangalia hiyo link ya clip hapo juu? hiyo ilitokea miezi michache tu iliyopita. kama huwezi fungua hiyo nenda youtube na search lehman pees na utaona alichofanya lehman na baadae kurudi uwanjani bila kubadili gloves wala nini, kaendelea kukamata mpira hadi kipenga cha mwisho.

    ReplyDelete
  16. nawe mdau wa Wed Feb 10, 05:13:00 PM, kwani kuishi na kucheza mpira ulaya ndio nini? kwani ulaya watu hawakojoi ovyo ovyo mitaani?

    nashangaa watu wanakejeli hapa ilhali lehman kafanya na hata mkimbiaji maarufu wa mbio za marathon Paula Radcliffe ameshawahi kufanya. tena huyu ni mwanamke.

    angalia clip hii hapa

    http://www.youtube.com/watch?v=W6I2-YP42rs

    ReplyDelete
  17. Nyie mnaowakandia kuwa ni waafrika tizameni basi haya na hawa wazungu wenu mnaowaona ndio waerevu wanafanya haya

    http://www.youtube.com/watch?v=W6I2-YP42rs

    na

    http://www.youtube.com/watch?v=-C-ELPlAqAo&feature=related

    ReplyDelete
  18. JAMANI,

    Hiyo picha siyo "real". Imekuwa ikizunguza sana kwenye mtandao toka '08 (ANC, Ghana nadhani).

    Ila iangalie kwa makini; mbona jamaa hajashusha kaptura/bukta? Mtu akifanya kitendo kama hiki lazima kuwa na mikunjo pale - bukta ikishushwa kwa mbele.

    Sijui aliye photoshop hii picha alikuwa na lengo gani; comedy au ndio yale yale ya kumfanya Mbantu aonekane ni "primitive".

    Jioni njema.

    ReplyDelete
  19. mtu mweusi hata aliyezaliwa marekani au ulaya bado ana tabia za ajabu ajabu tu hata ukimkuta kwenye basi au treni utakuta kaweka miguu juu ya kiti mimi nilifikiri ni afrika tu kumbe nimesafiri hata usa na europe bado nimekuta weusi wana tabia za kimatumbi

    ReplyDelete
  20. Hilo sio jambo la kwanza kwenye michezo kama watu wanamkumbuka Gazza 9Paul Gascoine wa England na Matthew Letticie wa Southampton wameshafanya ujinga huu.Ni jambo la kipumbavu yes lakini sio jambo la kwanza kutokea duniani na tusipende kujionyesha kwamba ni sisi tu ndio wapumbavu Afrika.Come on Guys

    Mjusi

    ReplyDelete
  21. wachawi sana wa ivory, ukute hiyo ilikuwa ni kutimiza masharti! ukute sangoma wao aliwaambia mmoja wenu akojoe katikati ya uwanja, vinginevyo hata wenzake wangemshangaa!

    ReplyDelete
  22. sioni sehemu yoyote michuzi ametaja Angola ???Mbona watu mnasisitiza kuwa hii si angola.

    ReplyDelete
  23. Zungu Wa MbiziFebruary 10, 2010

    Du! Tabia hii ya huyo kikojozi ni ya kukemewa kwa nguvu zote.......
    Ni mimi peke yangu ndo nimepitwa au?? Maana naona mnamshambulia sana Ankal kwamba hii game haikuwa Angola, lakini Ankal hapo juu kwenye post hakueleza hii game ilikuwa wapi na mwaka gani...hivyo basi kwa maoni yangu nafikiri ankal yupo sahihi na hapaswi kulaumiwa katu!

    ReplyDelete
  24. Duu..!! This is a big case where I live - tutafika kweli. - Mdau Wichita, Kansas.

    ReplyDelete
  25. wow!! Wat next kunya!!! we need to be slave again.. too much freedoms..

    ReplyDelete
  26. Ili tuweze kutibu ugonjwa wowote, lazima kwanza tujue tuna ugonjwa huo (diagnosis). Bara letu, very unfortunately, linaongoza kwa kuamini ushirikina (kuua maalbino, kuchuna watu ngozi, watoto kuibwa na kutolewa kafara, kuamini umelogwa wakati una UKIMWI, misukuri,ndumba, n.k.. Nakumbuka hapa Morogoro mjini, Agosti 2004, paka hai alichomwa moto hadharani wakati mamia ya wananchi wakiangalia (karne ya 21). Tuliopiga ripoti polisi tuliambiwa hiyo si kesi ya polisi!!! (Picha ya tukio hilo la kusikitisha ilitokea kataka makala ya MAJIRA JUMAPILI). Cha kusikitisha zaidi, hakuna hata kiongozi mmoja wa kidini, kijamii au kiserikali alitoa tamko kukemea tukio hilo la kijinga na kikatili!!! Tutambue kuwa sisi kama jamii tuna ugonjwa huo na tuanze kujitibu kwa kuelimishana. Inawezekana. Hata safari ya maili 1,000 inaanza kwa hatua moja.

    ReplyDelete
  27. kuna mtu kaniahidi kuwa sisi waafrika weusi wote na wale waliopo duniani kote ili muradi ni weusi kuwa tutaingia peponi moja kwa moja bila kuulizwa maswali wala kutakiwa kujieleza makosa yetu tuliyofanya duniani kwani ngozi yetu ni kibali halali cha kupata maraha ya daima,huyu jamaa nilimbishia kidogo lakini amenihakikishia kuwa ana ushahidi wa kutosha kwa ahadi hiyo na kigezo kikubwa alichokitumia ni kuwa sisi wenye ngozi hii tuna kataahira kidogo katika akili zetu na muumba mwenyewe analijua hilo ndio maana tunaingia VIP bila kupingwa sasa huu ushahidi wa kukojoa uwanjani mbele ya mamia ya watu mimi sikustaajabu sana kwani kama nilivyosema tusiwe na wasi wasi iko malipo makosa si yetu.
    salaam watu weusi wote.
    mimi albino.
    billdulla.

    ReplyDelete
  28. Huyo Mchezaji wala hakojowi ila anarekebish bukta. Jamani acheni kuzusha mambo na kupotasha jamii.

    ReplyDelete
  29. 1.wote mnaosema sio angola mna wazimu sana maana haijaandikwa popote angola apo
    2.kukojoa popote mbona ni jadi ya mwanaume wa kiafrika?cha ajabu nn

    ReplyDelete
  30. WATU WENGI WALIOCHANGIA BAADA YA ANON WED FEB 10, 06:59:00 PM NINA DOUBT INTELLIGENCE YENU MSHAAMBIWA HIYO NI PHOTOSHOP NA UKIANGALIA PICHA INA MAKE SENSE LAKINI NYIE BADO MNAENDELEA KUPONDA...AU HAMJUI MAANA YA PHOTOSHOP?? HAMJAWAHI KUONA WATU WANAPIGWA PICHA NA MACHUNUSI MAKUBWA LAKINI WANATOKA SMOOTH KABISA???

    ReplyDelete
  31. Watu wengi humu bado wapo utumwani, jamani umishakombolewa acheni kujibagua wenyewe try to be more patriotic na si kuutukuza utu weupe proud of yourself maana hiyo ni photoshop na aliyeitengeneza alikua na lengo la kututusi na nyie mnamsaidia kujitusi. Nikiwakamata natandika bakora wote nyie mnaotukana utu wenu pumbafffu

    ReplyDelete
  32. Mnamfahamu Landon Donovan, Mmnarekani anayechezea Everton kwa mkopo? Alikojoa Mexico stadium na hakuna wazungu waliomtukana kama nyie wajinga wachache maojiona weupe na sie weusi.Acheni ujinga wenu nyie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...