Home
Unlabelled
KCB wamwaga heri bomani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tina unajitahidi nice pic mshkaji.
ReplyDeleteMdau wa exim
picha ya pili chini mjomba mwenye nyeupe vipi tena !!!mtumzima ma style gani tena hayo ya kucheza au uzalendo ulikushinda !!
ReplyDeleteunaona mambo ya wizi bongo,
ReplyDeletemtu inabidi akacheze na mkoba wake na simu mkononi.
Anon Feb 22, 03:53:00 hujacheki vizuri, he is not dancing!!
ReplyDeleteHeri Bomani is one of the few high fliers in Tanzania!
ReplyDeleteBig Up Heri, all the best to whatever you are intending to do!
MNIRUHUSU KUUIZA SWALI
ReplyDeleteKUNA SWALA LINANIKUNA SANA NA NADHANI NITAPATA MAJIBU HAPA
UKIANGALIA KATIKA SHEREHE HII HAPA KUNA PMOJA WAPO YA PICHA INAONYESHA AKINA DADA WANAINAMIA WANA BABA KATIKA KUCHEZA (THEY SET THEIR BUTT TOWARDS THEIR MALE COUNTERPART’S GROIN AREAS). MSINICHEKE TAFADHALI. HII NIMEIONA SEHEMU NYINGI SANA DUNIANI NILIKOTEMBELEA KWAMBA KILA MZIKI WA DANSI NILIO HUDHURIA MAMBO NI HAYA HAYA. JE KUNA NINI KIZURI HAPO? NASHUKURU KWA MSAADA WENU NA JAMENI MSINICHEKE WALA MSINI HUKUMU KWA MATUSI KWANI KUULIZA SIO UJINGA NA AISHAKUMU SIO MATUSI
NAWASILISHA
Kama kila mteja atapata kukingiwa msondo namna hii! walau mara moja kwa mwezi, This bank could see a significant rise in customer deposits.
ReplyDeleteInawezekana wakenya wameshampiga vita wamuweke mkenya mwenzao.. Tutasikia.
ReplyDeleteUtasilia tuu Mkenya anakaimu weee miaka inaenda kama vile hakuna watanzania wanaoweza.
Mzozaji
Michuzi Kiswahili Lugha ya Taifa, na wewe ni mwana habari, WAMWAGA ndio nini!? Sahihi ni "WAMUAGA", MWAGA Ni neno jingine kabisa lisilomaanisha AGA.
ReplyDeleteMimi niliposoma kichwa cha habari nikadhani jamaa kafukuzwa kazi.
HEEEEEE HEEEEE HEEEEEE, MAMAAAAAAAAAAAAA, DUH DUH DUH DUH DUH, MTUMEEEEEEEEEEEEE. KWI KWI KWI KWI KWI, KUDADADADAKE WALAHI, MAFUTA YA CHURA KUMKAANGIA SAMAKI.
ReplyDeleteHUYU DADA MWENYE NGUO NYEUSI TAFADHALI ACHA UCHOKOZI, WEEEEEEEEEEEEE MAMBO GANI HAYO?
HAKI YA MUNGU KWA MTINDO HUU, DUNIANI WATABAKIA PAKA TU.
NA WEWE DADA MWENY SIMU MKONONI UNAYECHEZA NA HOGA YAKO, JAMANI MTUONEE HURUMA.
Ila kama mko single basi tutafutane "usanii@yahoo.co.uk"
Mdau Andrea
UK
Asante Heri kwa kuwaonyesha wakenya, foreignors wengine na watanzania watumwa wa ki-fikra wanaofikiri na kuimba kila siku kwamba watanzania hatuwezi kushika nyadhifa kama hizo na ku-deliver. Benki nyingi zenye asili ya nje na akampuni mengine kama hayo bado zina mawazo haya zinawanyima fursa watanzania za kuongoza zinakumbatia wageni tu. Wachache mliopata nafasi hizo na kufanya mambo ni mabalozi wazuri sana na inafurahisha kwamba ni vijana. You have a great future ahead nof you, keep it up.
ReplyDeleteMzee wenye shati nyeupe,sijui vipi bwana,amesogezewa kabisa,lakini aha,eti anakwepa,we si unamwona jirani yake,kasogezewa,halafu naye anaiweka vzuri ikae katika position
ReplyDeleteteh he heh inaitwa mbuzi kagoma teh he he....wacha nikabebe box dah bngo kweli tambarare. badae
ReplyDeletewanawake wa bongo wanapenda sana kuvutia wawekezaji. Huyo jamaa mwenye "full white" akili yake yote hapo anataka kuanza kuwekeza tuu.
ReplyDeleteBongo kuna utamu jamani,ebu angalie hizo Totozzzzzz,dunia gani utazipata!!Jamani mrudi nyumbani tuje kula vitu roho inapenda!!
ReplyDeleteWanadamu Bwana......baadhi tunajisahau sana! Hasa tunapokuwa tumekunywa kileo basi tutajimwaga hata bila heshima kidogo na pete zetu za ndoa mikononi na wengine hata humwaga radhi hadharani. Tukiulizwa tunasema tuna 'Celebrate'! Kwa wale tunaoamini kiroho huwa tunajiuliza; Hivi leo hii Mtume Muhamad au Yesu angeweza kuja au angekuwa anaishi eneo kama hilo angefanya hayo tunayoyafanya? Watu hao hao utakutana nao makanisani na misikitini wakiabudu! Tunahitaji Neema kubwa sana kujua ukweli jinsi tunavyohitaji kusihi. Kwa wale wasio na imani wanalo lakujitetea. Najua baadhi ya watu watavamia kuponda ukweli huu lakini ujumbe utakuwa umefika.
ReplyDeleteKwa uchokozi kama huu tutajenga kweli?
ReplyDelete(US Blogger)
Party za ofisi hizo! Utagundua tu kuwa nani anammanga nani.
ReplyDeleteMichuzi unakosea. Hiyo staili ya kuweka kamera sakafuni unatakiwa unapiga waliovaa miniskirt, sio waliovaa suruali (picha ya mwisho)
ReplyDeleteDude in White and chic in green and gray..... Get a room. Free alcohol isnt free.Hilarious.
ReplyDeleteankal afadhali umeziengua hizo picha manake leo comment za ajabu na kuvunja mbavu zingefika laki wabongo tunapenda ishu za ajabu kweli lol hata hivyo nimecheka kweli watu bwana duh!!
ReplyDelete