kwa zaidi na zaidi

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. huyu jamaa anakazania kusiwe majadiliano.yeye ni nani?spika wa bunge yupo na hio ndoo kazi yake.yeye anatakiwa asome tu kazi nzima.mambo mengine umuachie spika.huko ni kujihami kwani wanajua makosa yao.sisi watanzania sio wajinga tena.tunaelewa kila jambo baya linalotokea.ushauri kutoka kwangu ni mdogo tu, ufisadi unatuathiri sisi sote.wewe unaiba pesa za walipa kodi leo na kujenga gorofa lako ipo siku watakutoa kwenye hilo gorofa wananchi..hio mifano tumeshaiona kwenye nchi nyingi tu.Sie twanyamaza ..ipo siku cha moto mtakiona.

    ReplyDelete
  2. Nje ya mada:
    Natafuta kitabu kinaitwa TUFANI (nadhani sijakosea jina).. cha kiswahili, na kinahusu bwana mmoja mtaalamu wa ma'Safe'.
    Nilijaribu kupita mitaa ya Samora na jirani kutafuta, ila sijapata.
    Mwenye wazo mahali pa kukipata adokeze.
    Shukrani

    ReplyDelete
  3. Great work mheshimiwa

    ReplyDelete
  4. Haya ndiyo mambo..

    ReplyDelete
  5. Huyu anayesoma hii hotuba ni nani? Mbona anatetemeka? Yaani anakosea mara kwa mara

    ReplyDelete
  6. when we will be human to hold criminal accountable and build good future for Tanzania Children ....

    why keep torture 40million people,

    for things could be solved within 4month.

    ReplyDelete
  7. duh! mbunge hajui hata kusoma!?!?

    ReplyDelete
  8. Inshort speech inasema..tumeshamtoa lowassa hakuna tena richmond..Tumtafute mwengine tumtoe......bongo tambarare........

    ReplyDelete
  9. safi sana wakomesheni mafisadi hao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...