kwa zaidi na zaidi
Home
Unlabelled
libeneke la richmond leo bungeni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
kwa zaidi na zaidi
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu jamaa anakazania kusiwe majadiliano.yeye ni nani?spika wa bunge yupo na hio ndoo kazi yake.yeye anatakiwa asome tu kazi nzima.mambo mengine umuachie spika.huko ni kujihami kwani wanajua makosa yao.sisi watanzania sio wajinga tena.tunaelewa kila jambo baya linalotokea.ushauri kutoka kwangu ni mdogo tu, ufisadi unatuathiri sisi sote.wewe unaiba pesa za walipa kodi leo na kujenga gorofa lako ipo siku watakutoa kwenye hilo gorofa wananchi..hio mifano tumeshaiona kwenye nchi nyingi tu.Sie twanyamaza ..ipo siku cha moto mtakiona.
ReplyDeleteNje ya mada:
ReplyDeleteNatafuta kitabu kinaitwa TUFANI (nadhani sijakosea jina).. cha kiswahili, na kinahusu bwana mmoja mtaalamu wa ma'Safe'.
Nilijaribu kupita mitaa ya Samora na jirani kutafuta, ila sijapata.
Mwenye wazo mahali pa kukipata adokeze.
Shukrani
Great work mheshimiwa
ReplyDeleteHaya ndiyo mambo..
ReplyDeleteHuyu anayesoma hii hotuba ni nani? Mbona anatetemeka? Yaani anakosea mara kwa mara
ReplyDeletewhen we will be human to hold criminal accountable and build good future for Tanzania Children ....
ReplyDeletewhy keep torture 40million people,
for things could be solved within 4month.
duh! mbunge hajui hata kusoma!?!?
ReplyDeleteInshort speech inasema..tumeshamtoa lowassa hakuna tena richmond..Tumtafute mwengine tumtoe......bongo tambarare........
ReplyDeletesafi sana wakomesheni mafisadi hao
ReplyDelete