Stan Boi (kulia) na Sippi

Huyu ni kijana anaitwa Stan Boi, wengi watamkumbuka wakati yupo East Coast Team chini ya Amiri Jeshi Mkuu "King Crazy GK"
. Alishiriki kwenye nyimbo kibao, kama vile Itikadi na kadhalika. Sasa yupo nchini Marekani na anasoma huku anaendeleza libeneke la muziki. Na ameshaanza kufanya show jukwaa moja na wasanii wakubwa kule kama vile Omarion, Jaicko, Se Trill, LP,Ester Dean,Sippi, C-Rider na Huriccane

Thanks
--
EXTRA MILES GROUP (T)
P.O.Box 8651
Dar Es Salaam,Tanzania

Cell: +255 (0) 755 893 232
+255 (0) 786 744 444
+255 (0) 713 550 699

Fax: 022 22 277 1265
Dealing with; Event Management,Event Consultant,Event Production,Artist Booking Agency,Experiential Marketing, Branding, Public Relation-PR, Advertisement, Graphic design, Printing Promotion Material, Artist Management, Modeling Agency, Extra Miles Deejays,Event Creative, Music Video Script Writing,Venue Architecture (Designing)
Stan Boi na Saiko




Stan Boi na Jaicko na meneja wao. Chini na Chamillionaire
akina a ester dean
stan boi akiwa na Se Trill na LP

Huyu ni kijana anaitwa Stan Boi, wengi watamkumbuka wakati yupo East Coast Team chini ya Amiri Jeshi Mkuu "King Crazy GK" na alishiriki kwenye nyimbo kibao, kama vile Itikadi na kadhalika. Sasa yupo nchini Marekani na anasoma huku anaendeleza shughuli zake za kimuziki. Na ameshaanza kufanya show jukwaa moja na wasanii wakubwa kule kama vile Omarion, Jaicko, Se Trill, LP,Ester Dean,Sippi, C-Rider na Huriccane

Thanks
--
EXTRA MILES GROUP (T)
P.O.Box 8651
Dar Es Salaam,Tanzania

Cell: +255 (0) 755 893 232
+255 (0) 786 744 444
+255 (0) 713 550 699

Fax: 022 22 277 1265

Dealing with; Event Management,Event Consultant,Event Production,Artist Booking Agency,Experiential Marketing, Branding, Public Relation-PR, Advertisement, Graphic design, Printing Promotion Material, Artist Management, Modeling Agency, Extra Miles Deejays,Event Creative, Music Video Script Writing,Venue Architecture (Designing)



Stan Boi akiwa kwenye stage, kwani wengi wao kama hawaamini kweli kijana wetu anaweza kufika hatua kama hito.

Pia wanaweza kucheki kwenye link hizi hapo chini:

http://www.youtube.com/watch?v=t0TEkTmIZIw

http://www.youtube.com/watch?v=-WKS2NSTVKc&feature=related

http://www.youtube.com/watch?v=o2ERZas1AHM&feature=related

http://www.youtube.com/watch?v=OmQtIEghUBI&feature=related

http://www.youtube.com/watch?v=zGDU5efXo9w&feature=related

Pia wanaweza kupitia website ya

www.power939.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Pose za vijana safi sana

    ReplyDelete
  2. hivi kwa nini wanaume wakipiga picha hasa hasa vijana lazima wakunje vidole kwani mkipiga picha bila hayo mapozi inakuwaje?

    ReplyDelete
  3. acha kuwadanganya watu, kupiga picha na mastar ndio kufanya nao shoo? kama ni kweli tuonyesheni basi hizo picha na video ambazo anafanya hiyo shoo na hao wasanii,hapo tutakubali,wadanganyeni haohao wala vumbi kama kanumba alivyowadanganya kapata tuzo sijui za nini wakati mkononi kashika tuzo feki ya oscar,na pia kakutana na superman wakati hamna mtu ambaye ni superman hapa duniani.

    ReplyDelete
  4. keep ur head up boy

    ReplyDelete
  5. Kaka vipi mbona gego limepindapinda
    So your company deals with among other things 'event consultant'.Artist Booking Agency, Advertisement, Printing Promotion Material, Modeling Agency, Event Creative.
    ha ha ha ha dah ni gego halipandi au typing errors tu??!!

    ReplyDelete
  6. VIDEO ZA SHOW MDAU ALIKUWA ANAULIZIA HIZI HAPA
    http://www.youtube.com/watch?v=4t6dziH7HvU&feature=related
    Or kama utashindwa kuona hiyo video just log in kwenye youtube halafu Type STANBOY THE AFRICAN CHILD zitakuletea video na mavitus ya huyo Dogo makali. Nyimbo yake take you out anaimba hapo ilichukua Top ten kwenye Local Redio hapa Wichita ,Ks
    Mdau opulukwa

    ReplyDelete
  7. Nyie wazushi mnauliza video za nini kijana anatambaa na kazi yake inasonga acheni kuhate.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...