Huyu ni kijana anaitwa Stan Boi, wengi watamkumbuka wakati yupo East Coast Team chini ya Amiri Jeshi Mkuu "King Crazy GK"
. Alishiriki kwenye nyimbo kibao, kama vile Itikadi na kadhalika. Sasa yupo nchini Marekani na anasoma huku anaendeleza libeneke la muziki. Na ameshaanza kufanya show jukwaa moja na wasanii wakubwa kule kama vile Omarion, Jaicko, Se Trill, LP,Ester Dean,Sippi, C-Rider na Huriccane
Thanks
--
EXTRA MILES GROUP (T)
P.O.Box 8651
Dar Es Salaam,Tanzania
Cell: +255 (0) 755 893 232
+255 (0) 786 744 444
+255 (0) 713 550 699
Fax: 022 22 277 1265
Dealing with; Event Management,Event Consultant,Event Production,Artist Booking Agency,Experiential Marketing, Branding, Public Relation-PR, Advertisement, Graphic design, Printing Promotion Material, Artist Management, Modeling Agency, Extra Miles Deejays,Event Creative, Music Video Script Writing,Venue Architecture (Designing)







Thanks
--
EXTRA MILES GROUP (T)
P.O.Box 8651
Dar Es Salaam,Tanzania
Cell: +255 (0) 755 893 232
+255 (0) 786 744 444
+255 (0) 713 550 699
Fax: 022 22 277 1265
Dealing with; Event Management,Event Consultant,Event Production,Artist Booking Agency,Experiential Marketing, Branding, Public Relation-PR, Advertisement, Graphic design, Printing Promotion Material, Artist Management, Modeling Agency, Extra Miles Deejays,Event Creative, Music Video Script Writing,Venue Architecture (Designing)
Stan Boi akiwa kwenye stage, kwani wengi wao kama hawaamini kweli kijana wetu anaweza kufika hatua kama hito.
Pia wanaweza kucheki kwenye link hizi hapo chini:
http://www.youtube.com/watch?v=t0TEkTmIZIw
http://www.youtube.com/watch?v=-WKS2NSTVKc&feature=related
http://www.youtube.com/watch?v=o2ERZas1AHM&feature=related
http://www.youtube.com/watch?v=OmQtIEghUBI&feature=related
http://www.youtube.com/watch?v=zGDU5efXo9w&feature=related
Pia wanaweza kupitia website ya
www.power939.com
Pose za vijana safi sana
ReplyDeletehivi kwa nini wanaume wakipiga picha hasa hasa vijana lazima wakunje vidole kwani mkipiga picha bila hayo mapozi inakuwaje?
ReplyDeleteacha kuwadanganya watu, kupiga picha na mastar ndio kufanya nao shoo? kama ni kweli tuonyesheni basi hizo picha na video ambazo anafanya hiyo shoo na hao wasanii,hapo tutakubali,wadanganyeni haohao wala vumbi kama kanumba alivyowadanganya kapata tuzo sijui za nini wakati mkononi kashika tuzo feki ya oscar,na pia kakutana na superman wakati hamna mtu ambaye ni superman hapa duniani.
ReplyDeletekeep ur head up boy
ReplyDeleteKaka vipi mbona gego limepindapinda
ReplyDeleteSo your company deals with among other things 'event consultant'.Artist Booking Agency, Advertisement, Printing Promotion Material, Modeling Agency, Event Creative.
ha ha ha ha dah ni gego halipandi au typing errors tu??!!
VIDEO ZA SHOW MDAU ALIKUWA ANAULIZIA HIZI HAPA
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=4t6dziH7HvU&feature=related
Or kama utashindwa kuona hiyo video just log in kwenye youtube halafu Type STANBOY THE AFRICAN CHILD zitakuletea video na mavitus ya huyo Dogo makali. Nyimbo yake take you out anaimba hapo ilichukua Top ten kwenye Local Redio hapa Wichita ,Ks
Mdau opulukwa
Nyie wazushi mnauliza video za nini kijana anatambaa na kazi yake inasonga acheni kuhate.
ReplyDelete