Home
Unlabelled
shoo ya fresh jumbe na twanga pepeta jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mpini wa Solo kama kawa mwanangu mwenyewe Miraji Shakashia!! Toka enzi za Vijana Jazz halafu wazee tukahamia Mango Garden tukaanzisha Twanga pepeta!! Powa wana ...mdau hapa Twanga Original toka mitaa ya kati!!
ReplyDelete....i miss matarumbeta,mziki wa dansi haujakamilika bila matarumbeta.unakumbuka enzi za kina Rashi Pembe na Vijana Jazz...?!aaaaah Rashidi Pembe...
ReplyDeleteBombenga,aminiaa,Sax yako imenikumbusha saana enzi zile za Orch Marquiz pale Wite House Ubungo,wale wazee wenzangu nadhani mtakua mnayakumbuka makamuzi ya Bilali Mafumu Bombenga(Super Sax),ilikua sio mchezo,leo baada ya miaka mingi Bombenga unanionyesha tena mavitu yako!! kweli ujuzi hauzeeki,big up Bombenga.Mdau London.
ReplyDeleteNILIKUWA LANDMARKMIJUMAA HIYO NA WAZEE WA KAZI, TWANGA + JUMBE WALIFUNIKA VILIVYO...MH MWANANGU KONESTA, PENZI NI KIKOHOZI, MWAJUMAN NK WAS BOOOOMBA! CHALZ BABA ANAJITUMA SANA ILA HUYU CHOKOROO NI MZIMA KWELI AU NDO MADAWA YASHAMMALIZA MANA ALIONEKANA KACHOKA SANA HALAFU HAKUWA SMART KAMA WENZAKE.KALALA JUNIOR ALINISUUZA...VERY HANDSOME, SMART AND CHARMING NA SAUTI YAKE BOMBA NA ANACHANGAMKA NA MUZIKI NA JUKWAA...KEEP IT UP TWANGA!!!!
ReplyDeleteFresh nasikia una bendi huko japan ; ni lini utakuja na kikosi chako kuja kutumbuiza mambo ya ukweli nyumbani bongo ?
ReplyDeletetafadhali nijibu ....