Chef Issa aongea na Globu ya Jamii siku moja kabla ya kumaliza vekesheni yake. Anasema libeneke la Culinary Chamber bado linaendelea na anakukaribisha umtembelee
http://activechef.blogspot.com/


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ''all rights reserver'' aminia babake kanyaga twende!! ankal poa sana kutuletea huyu bwana. namtamani sana kuwa bongoland nadhani kafaidi sana mambo ya home manake bongo!!!! mh mungu aliipendelea sana katika uumbaji wa viumbe bongo. pia nafagilia sana shughuli, harakati na jitihada za huyo chef issa big up sana mwana endeleza ukamanda.
    niko mtandaoni kaka utadhani sina shughuli ya kufanya vile!!!! na ctaki kukubali kuwa siku imekwisha teh teh teh teh eeenhe!!


    mdau wa Pajazzz+titizzz

    ReplyDelete
  2. ankal yule muheshimiwa profesa Mbele post yake inatosha sasa ungeichomoa kimtindo manake duh waungwana watammeza sasa!!!. mashambulizi yamezidi duh. nimehesabu maoni yote yaliyopo nikiyachambua kwa kutofautisha supportive arguments (purely +ve comments) na yale negative nimegundua asilimia tisini na nane (98%) ya waungwana waliochangia wamemkalia kooni ni only one percent ndo imesapoti ha ha ha ha ha!!! watammeza profesa wa watu!!!!!

    Mdau....

    ReplyDelete
  3. yeye mwenyewe bado anasoma.nyie watu vipi?

    ReplyDelete
  4. hivi we unapika saa ngapi?

    ReplyDelete
  5. haaa me chef nilijua ni jina lake?

    so wewe ni mpishi!!hongera sana kaka maana kwa wanaume wa kibongo ni shughul

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...