Home
Unlabelled
uso kwa uso na chef issa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
''all rights reserver'' aminia babake kanyaga twende!! ankal poa sana kutuletea huyu bwana. namtamani sana kuwa bongoland nadhani kafaidi sana mambo ya home manake bongo!!!! mh mungu aliipendelea sana katika uumbaji wa viumbe bongo. pia nafagilia sana shughuli, harakati na jitihada za huyo chef issa big up sana mwana endeleza ukamanda.
ReplyDeleteniko mtandaoni kaka utadhani sina shughuli ya kufanya vile!!!! na ctaki kukubali kuwa siku imekwisha teh teh teh teh eeenhe!!
mdau wa Pajazzz+titizzz
ankal yule muheshimiwa profesa Mbele post yake inatosha sasa ungeichomoa kimtindo manake duh waungwana watammeza sasa!!!. mashambulizi yamezidi duh. nimehesabu maoni yote yaliyopo nikiyachambua kwa kutofautisha supportive arguments (purely +ve comments) na yale negative nimegundua asilimia tisini na nane (98%) ya waungwana waliochangia wamemkalia kooni ni only one percent ndo imesapoti ha ha ha ha ha!!! watammeza profesa wa watu!!!!!
ReplyDeleteMdau....
yeye mwenyewe bado anasoma.nyie watu vipi?
ReplyDeletehivi we unapika saa ngapi?
ReplyDeletehaaa me chef nilijua ni jina lake?
ReplyDeleteso wewe ni mpishi!!hongera sana kaka maana kwa wanaume wa kibongo ni shughul