mdau wilbert kiloya samwel na mai waifu wake salome mathew maige wakitoka kanisa la St. Joseph jijini Dar jana baada ya kumeremeta. Kisha walielekea hoteli ya Istana kwenye mnuso

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hongera Wilbert na Salome....karibuni ktk ulimwengu wa kuvumiliana ktk shida na raha.

    Mdau New Delhi

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Kiloya kwa kupata jiko, umetoka chicha mwanangu.

    ReplyDelete
  3. HONGERENI

    naona kuna picha zingine za wadau harusi mlifunga sehemu moja na sherehe sehemu moja. hivi hapo istana mliifanyaje hiyo.

    muziki, ma mc pia ilikuwaje etc

    najua kuna kulikofunikwa na kule kwa uwazi kwenye vi gazebo

    niambieni

    ila istana kwa chakula nawaa 100%
    buffet zao utarudi kila siku kutaka kula

    nendeni mkajionee

    ReplyDelete
  4. maharusi hongereni sana kwa kumeremeta mdumu katika pendo la kweli na Mungu awabariki, mdau hapo juu ni kweli buffet ya pale istana acha tu ni lazima urudi tena na tena wana chakula kizuri na kitamu haswaaaa!!!

    ReplyDelete
  5. Safi sana ADEP kwa kufunga ndoa. Namuona mama Amanda kwa mbali..... All the best

    ReplyDelete
  6. Mdau ulieandika ADEP umemaanisha ile programme ya economic planning ya IDM au? ka ndio na mie ni muhitimu wa hiyo programme miaka hiyooo. ila hawa jamaa siwakumbuki ni intake gani?

    ReplyDelete
  7. nawatakia kila heri katika maisha yenu KWA MAANA HIYO SASA MMEKUWA MWILI MMOJA NA SIO WAWILI TENA

    ReplyDelete
  8. ADEP umenikumbusha mbali IDM Mzumbe ,Mr Punch hivi bado ana exist?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...