Home
Unlabelled
wilbert na salome wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Wilbert na Salome....karibuni ktk ulimwengu wa kuvumiliana ktk shida na raha.
ReplyDeleteMdau New Delhi
Hongera sana Kiloya kwa kupata jiko, umetoka chicha mwanangu.
ReplyDeleteHONGERENI
ReplyDeletenaona kuna picha zingine za wadau harusi mlifunga sehemu moja na sherehe sehemu moja. hivi hapo istana mliifanyaje hiyo.
muziki, ma mc pia ilikuwaje etc
najua kuna kulikofunikwa na kule kwa uwazi kwenye vi gazebo
niambieni
ila istana kwa chakula nawaa 100%
buffet zao utarudi kila siku kutaka kula
nendeni mkajionee
maharusi hongereni sana kwa kumeremeta mdumu katika pendo la kweli na Mungu awabariki, mdau hapo juu ni kweli buffet ya pale istana acha tu ni lazima urudi tena na tena wana chakula kizuri na kitamu haswaaaa!!!
ReplyDeleteSafi sana ADEP kwa kufunga ndoa. Namuona mama Amanda kwa mbali..... All the best
ReplyDeleteMdau ulieandika ADEP umemaanisha ile programme ya economic planning ya IDM au? ka ndio na mie ni muhitimu wa hiyo programme miaka hiyooo. ila hawa jamaa siwakumbuki ni intake gani?
ReplyDeletenawatakia kila heri katika maisha yenu KWA MAANA HIYO SASA MMEKUWA MWILI MMOJA NA SIO WAWILI TENA
ReplyDeleteADEP umenikumbusha mbali IDM Mzumbe ,Mr Punch hivi bado ana exist?
ReplyDelete