Picha afisa utamaduni wa halmashauri ya wilaya ya Arusha Pradensiana Ngamanya akimkabidhi kombe na zawadi kapteni wa timu ya New Vision mara baada ya kuondoka na ushindi katika ligi ya kombe la diwani iliyomalizika hivi karibuni
Picha mwimbaji wa nyimbo za injili Solomoni mkubwa akiwaburudisha wakazi wa Arusha na vitongoji vyeke ndani ya uwanja wa Sherk Amri Abeid katika mkutano wa injili ulioanza jana Picha zote na Woinde shizza wa Globu ya Jamii A-Taun


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...