wenzetu wanavyoweza kudhibiti mwendo bila kuvuja jasho
hapa unapunguza mwenyewe mwendo
mahesabu
akili mali. sio kukurupuka tu kama sisi tuliojaa nidhamu za woga




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Asante sana ankal kwa taswira hii.Naomba ufafanuzi kuhusu teknolojia hii ya kupunguza mwendo bila gharama kubwa na tafadhali sana hakikisha kuwa inawafikia wahusika kwa utekelezaji.

    ReplyDelete
  2. Mie naona kama ndio itasababisha ajali zaidi. Manake jamaa katika kukwepa shimo basi ndo anavamia gari la upande mwingine!

    ReplyDelete
  3. Hahaha hii ni danganya toto.Watu watapunguza kasi mara moja tu,baada ya hapo kasi itakuwa kama kawaida

    ReplyDelete
  4. sio technilogia, barabara mbovu, ninyie wehu nini, au kila la mzungu jema hata kohozi kale!!!! alama za michoro barabarani si jambo gni hata barabara ya moshi arusha zipo kibao achani utumwa

    ReplyDelete
  5. Hii ndo itakuwa kiboko ya madreva wa Mabasi makubwa, maana huwa wanatoka speed ile mbaya kama wamepakia machungwa tu, mi nahisi huwa wanapewa gemu za mashindano (Need for Speed)vile kwanza kabla hawajaondoka stendi, alafu ikifika kwenye hali halisi ndo wanafanya kweli kwa roho za watu, na tena serikali iyakuze hayo mapicha ili yawe mara hata kumi ya hapo!!

    ReplyDelete
  6. ankal
    Hii kali lakini wabongo wakigundua kwamba ni yakubandika ? moto wake ni waukweli. Dawa ni kutafira njia mbadala ya ukweli

    ReplyDelete
  7. Inakuwaje pale wazushi wakishagundua huo ni uzushi wamewekewa...vumbi lake litakuwa si mchezoo..

    ReplyDelete
  8. Wadau kusoma mmeshindwa basi hata picha hamuoni?

    Kinachoendelea hapo sio jitihada za kuwafanya madereva wapunguze mwendo.

    Hiyo ni advertising campaign ambayo kwa kweli imekwenda shule.

    Jamaa wanapromoti motor vehicle suspension products brand ya Pioneer ... na ndio maana mbele wameandika "It feels like Pioneer suspension"

    Mpaka hapo nadhani nimewatafunia vya kutosha. Kama utashindwa kuelewa what is going on basi bado uko mbali sana, bora ukecheke na za Comedy show ya kina Masanja.

    Aisee hii ni creativity ya hali ya juu, nimeipenda.

    ReplyDelete
  9. Acheni ushamba jamani, hilo ni tangazo la biashara, sio kwa ajili ya kudhibiti mwendo barabarani...Akili ni mali!

    Mdau 6

    ReplyDelete
  10. hahahaaaaa nimecheka maana nilijua kweli na ningepunguza mwendo tu apo

    kweli hii adabu

    ReplyDelete
  11. watapunguza mwendo siku ya mwanzo ya pili watafukia shimohewa kwa gia #5.

    ReplyDelete
  12. Na hayo si mashimo bali ni picha ilobandikwa kwenye barabara. Angalia picha ya mwisho jamaa akibandika picha ya shimo barabarani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...