MADEREVA WANATAKIWA SAUDIA
ANKAL asalam alaikum.Kuna ishu
ANKAL asalam alaikum.Kuna ishu
nimeinyaka ya madereva wanahitajika
kwa mtu ambae angependa.
Kama wewe unasifa ya udereva na ni Mtanzania basi kuna kampuni inahitaji madereva hapa Saudi Arabia. Kama uko interested tafadhali tuma maombi yako kwa email hii hapo chini:
monty@itm.com.sa
Kama wewe unasifa ya udereva na ni Mtanzania basi kuna kampuni inahitaji madereva hapa Saudi Arabia. Kama uko interested tafadhali tuma maombi yako kwa email hii hapo chini:
monty@itm.com.sa
au
phone:+966503871936.
ANGALIZO:
kama umepata nafasi ya kuwasiliana nao basi kuna vitu inabidi muelewane nao:
1)wao ndio wakupe malazi
phone:+966503871936.
ANGALIZO:
kama umepata nafasi ya kuwasiliana nao basi kuna vitu inabidi muelewane nao:
1)wao ndio wakupe malazi
2)free air ticket ni wao
3)mshahara 3000sr au 2000sr (1sr=350tsh)au muelewane zaidi.
3)mshahara 3000sr au 2000sr (1sr=350tsh)au muelewane zaidi.
4)bima ya afya lazima wao wakupe.
kama hivyo vitu nilivyo vitaja havitakuwepo basi nakushauri achana nao.
Hili ndondo ni la bure siitaji hata senti ni katika kusaidiana na vijana wenzangu.
au kama unataka ushauri zaidi wasiliana nami kwa email hii
mnogajr@hotmail.com
au kama unataka ushauri zaidi wasiliana nami kwa email hii
mnogajr@hotmail.com
Nafurahi mno ninapoona waTz waliowahi wanajitahidi kuwavuta wengine. Mjomba shukrani Muumba nawe akuongezee, na wengine changamkieni. Hapa nimepata web site ya hao jamaa. Kuna nafasi kibao: http://www.itm.com.sa/careers.html
ReplyDeleteAll the best,
Blackmpingo
Hii kazi sio nzuri kwani huo mshahara hata kama wana kupa malazi lakini na Insurance kuna mambo mengine huja yataja so still hailipi japo hupati kitu chochote mshahara wa 3000sr ni sawa na 1050000 bado hujala wala kukumbuka familia yako.Kuwa muwazi kidogo hapo kwani ukiwa nje na nyumbani mambo ni magumu sana tena sana.
ReplyDeleteHUU NI USHAURI WA BURE, PAMOJA NA KUWA NI JAMBO ZURI KUJITAFUTIA KAZI YENYE KIPATO KIKUBWA, USHAURI WANGU NI KATIKA KILA HATUA YA KUTAFUTA KAZI HIZO NI VEMA KUSHIRIKIANA NA UBALOZI PAMOJA NA WAKALA WA SERIKALI WA KUTAFUTA AJIRA. KWA UZOEFU WANGU WA ENEO LA ARABUNI KUMEKUWA NA MATATIZO MAKUBWA YAWAPATAO WATANZANIA WALIOBAHATIKA KUFANYA KAZI HUKU HASA HUKO SAUDIA NA OMAN, MUHAKIKISHE MNASAINI MIKATABA KABLA HAMJAPANDA NDEGE NA MARA MNAPOWASILI UGENINI MJIANDIKISHE KWENYE UBALOZI WA TANZANIA HUKO NA KAMA HAUKO BASI UBALOZI WA UINGEREZA
ReplyDeleteJamani mjitizame manake kampuni kama hiyo ni nzuri na vizuri mwenzetu katuona na kufikiria katika wakati huu wa "recession" lakini lazima ukweli wa mambo mjue haswa kwa wale ambao watataka hii kazi:
ReplyDelete1. Kontract yako lazima uijue na ikiwezekana mpelekee loya aangalie sio tu ukubaliane nao.
2. usipofanya hivyo unaweza kujikuta unafanya kazi na pesa hupewi sababu kunakuwa hakuna maandikishano ya aina yoyote baina yako na wao.
Wengine wanasema hawa waarabu haya mambo ya sheria ni hawana, ila ni vizuri ukijua mambo yakoje mapema.
Manake kuna jamaa ambae alikuwa ni fundi na dreva wa lori tena navyosema fundi ni fundi kweli lakini alienda na matokeo yake hakulipwa na alitumika vibaya sana, mpaka ilikuwa kama vile kinyama ikafikia muda ikabidi atafute mbinu za kuondoka (wale aliohadiana nao walikuwa hawana habari nae tena) yote hii ni sababu ya vitu kama hivi.
Tunapenda pesa tena ya jasho mwenyewe lakini lazima ukweli wa mambo uwe wazi. Fanya uchunguzi wa nguvu kabla ya kuomba hii kazi na kabla ya kukubaliana nao kwa kitu chochote. Najua, wengi tuna matumiaini ya kubadilisha maisha haswa tukiona nchi kama hii yenye pesa basi tunaona matatizo yetu yote yameisha ila lazima tujifungue macho kwanza kabla ya kufanya chochote. Hizi nchi zina watumwa sana, sawa wana pesa nyingi lakini mara nyingi huwa ni zao wao wenyewe (wazaliwa wa pale) sio tu mtu yoyote ndio maana unakuta hata ukizaa mtoto pale hapewi KARATASI za aina yoyote sababu vitu vyote ni vyao wewe unakuwa kama "punda" tu utafanyishwa kazi wao ndio wale matunda yako.
NAWATAKIA KILA LA KHERI WALE WOTE WATAKAOPATA NA KUOMBA KAZI HII.
N.B: Ni ushauri wa bure tu.
NI VIZURI TUNAPOPEANA HIZI HABARI WAARABU NI WATU WABAYA SANA TENA SANA WANAONA WA-AFRIKA KAMA NYANI INABIDI MTU UNAPOKWENDA UFUATE SHERIA ZOTE NI WATU WANAOPENDA KUFANYISHA WATU KAZI BURE BILA MALIPO NI VIZURI TUKALISEMA HILI ILI NA WAO WAJUWE KUWA TUNAJUWA TABIA YAO NA IKIWEZEKANA BALOZI YAO HAPO TANZANIA IHUSISHWE NA MAMBO KAMA HAYA NI KWELI SI WATU SI MCHEZO
ReplyDelete