1. Money can't buy happiness, but somehow,
it's more comfortable to cry in a BMW than on a bicycle
2. Forgive your enemies, but remember their names
3. Help a man when he is in trouble,
2. Forgive your enemies, but remember their names
3. Help a man when he is in trouble,
and he will remember you when he is in trouble again
4. Alcohol doesn’t solve any problems, but neither does milk...
4. Alcohol doesn’t solve any problems, but neither does milk...


Aisee hii ni sahihi kabisa. Nimeyapenda sana maneno haya.
ReplyDeleteHata demu ukijifanya kumpiga tafu sijui hela za matumizi, ada, etc anakuweka ktk kundi la "wenye roho nzuri" aka vibuzi au ATM. Kila siku anakuomba hela (yaani anakukumbuka akiwa na shida).
lol, true
ReplyDeletemanyunyu
wow! kweli kabisaaa
ReplyDeleteJamani whoever posted this has made my evening,asante sana nimecheka kweli kweli hasa hiyo ya crying on a bmw than on a bicycle, ila zaidi ni hiyo ya alcohol yaani saafi saanaa.
ReplyDeletenimekopi na kuziweka kwenye folder la wizdom
ReplyDeletekukumbuka majina kwa ubaya walioutenda ni kuwaadhibu pia. samehe au acha.
ReplyDeletejamaa wanasema kama unasamehe pia usahau.
The love for money is the root of all evil however the love for your neighbour is the root of goodness.
ReplyDeleteIn the bible my neighbour is the good samaritan. In law my neighbour does not have to be a good samaritan.
Kama mtu amekunywa sumu fulani, anaweza kupona akinywa maziwa, lakini pombe inamzidishia nguvu za sumu. Kwahiyo milk can solve some problems and alcohol does not. So the last statement should be stated otherwisely!
ReplyDeleteheheheheh, nimecheka kiasi. Thanx 4 posting this
ReplyDelete