Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Gaddafi ni chizi, hata Arab league wanamjua kuwa wapangaji walishahama.
ReplyDeleteKazidiwa na fikra za kipumbavu na pia ni kiongozi Dictator anayejulikana.
Hivi huyu Gadafi ni mfalme wa Libya au?? maana hang'atuki tangu enzi hizo za akina Iddi Amin Dada mpaka leo bado yupo au naye anaaply za Mwana FA (bado yupo yupo kwanza)
ReplyDeleteKAMA ANATAKA KUIGAWA 9JA MARA 2 SI AWAPE HAO MUJAIDINA WENZAKE ARDHI HUKO KWAKE LIBYA AWAACHE NDUGU ZANGU WA DAMU KAMA WALIVYO.
ReplyDeletebara should set zanzibar free
ReplyDeletenabii john mashaka jibu mapigo ya gadafi.... hii kali aisee, huyu gadafi ni dikiteta kweli kweli
ReplyDeletekazanzibar ketu kaacheni kama karivyo kakoroni ketu jemeni, kudadeki! anayepinga ni adui wa muungano na ni mhaini, atavurumishiwa lungu ra dora
ReplyDeleteyaaani inaskitishaa saana na ndo maana makaburu wataendelea kututawala kwetu africa.inaonyeshaa ni ginsi gani wachangiaji wote hapo juu mlivo wajinga na kutopenda africa yetu.nyiee kaa mafisadi kadhafi he,s a grt african,maana hao makaburu hutumia ma raisi wajinga ka nyie hapo juu kutokubali united stetes of africa pasi mmoja bunge mmoja mipaka inatolewa kaa walivofanya wa europeeani afuu hawa jamaa tunawafungia maji na matala.kama si hio winter yao na ma sneew hawana lolote zaidi ya kutuibia mali zetu na kunufaika na zo huko kwetu kupitiaa mgongoni mwa viongozi wajinga africa.hawa jamaa naamini tukifunga kila kitu watakujaa kujilipua africa kwetu.wee angaliaa madini yetu ndo wanatumia kune lap top na viserura.cacao nchi ya kwanza kuazlishaa cacao duniani ivory coast ilaa mtoto wa huko hajui chocoleti ikojei.inauma saana ilaa tutafika tu aluta continua africa tunaitaji viongozi kaa kadhafi na kagame kumi afu makaburu tumewamaliza
ReplyDeletemdau arizona gilbert
gilbert weeee nini mana ya ma sneew??? labda ma snow lol!!! ulimi hauna nyama ooops mfupa!!
ReplyDeleteMdau gilbert wa arizona umeandika lugha inayofanana na kiswahili, unaweza kurudia tena ujumbe wako ili ueleweke??
ReplyDeletehaki ya nani mtu anaeongelea udini,ni muuaji na sumu ya jamii na jehanam ni yake!!maana ulipuaji afrika hatutaki jameni
ReplyDeletemungu saidia na ingilia kati suala la nigeria