
Kuna picha hizi za kuonyesha vijimambo vya dunia tungependa tushee na wadau. Hii ni mashindano ya kupiga denda China. Picha zaidi unaweza ukawapa wadau link hii
http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=728887
THANKS
NIFAHAMISHE.COM TEAM
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eeh! wanavyoning'inia utadhani matoto vile. Wachina mbona hawakuwa hivyo zamani??
ReplyDeleteHahaha! mwisho wa pambano watajikuta wamelowa mate hadi kwenye chupi
ReplyDeleteDenda hua OK kwenye malove. Lakini utashangaa sisi waafrica sijui huwa tunalionaje. mke na mme wanaweza kukaa mpaka wanakufa bila hata denda la mbali.
ReplyDeleteHawa jamaa nawapongeza. Hata mimi na mme wangu tulikuwa tukila denda kabla ya kioana. tulipooana kitabu kikafungwa.
Ankal vipi? Issue zizizo na tija kwa jamii tia kapuni!!
ReplyDeletehawa ni vicheche tu mwenye hakili zake hata fanya mbele za watu.
ReplyDeleteNatafuta wadhamini kwa ajili ya kuendesha mashindano kama haya hapa nyumbani TZ.
ReplyDeleteKila ninayemfuata anasema hataki kueneza UKIMWI
Mh sisi binadamu! kiss hazina maana tena siku hizi,sasa hivi utasikia kuna mashindano ya kufanya mapenzi,sasa sijui mshindi anapata nini? Mimi uk.
ReplyDeletehawa wachina kama hadi sasa wapo jumla BILIONI MOJA NA MILIONI MIA NNE je kwa hali hii si watazaliana na kuwa na idadi ya kutisha kwani hivi sasa wametawanyika kila nchi hapa duniani unawakuta wanafanya kila kazi bila kuchagua du chinese kwa malove mnatisha
ReplyDeletetangu china kuanza urafiki na marekani mmekuwa na mambo ya ajabu ajabu tu mnaacha ukomunisti na kuwa wamagharibi tu huko ni kupoteza utamaduni wenu
ReplyDeleteHapo midomo na ndimi ni vidonda kwenda kwa mbele!
ReplyDeletewachina wa wapi weweee?acha kuzuga watu hapa!!
ReplyDeletechina tunayoijua sie ivi?risasi tuu
mnaleta umarekani na uhuni wao apa?
Hayo madenda ya kichina MACHACHU kama nini...hapo mimi simo maana sijui huwa wanakula vitu gani...!!
ReplyDeletewenye vipotabo wanajinoma, wewe kama umechukua bulungutu shauzi zako!!
ReplyDeleteMmh! Denda na afya za vinywa vyetu sijui...
ReplyDeleteMaadamu umetufahamisha hili tufahamishe pia na watakapofanya mashindano la 69 na 71 uone Mkuchika atakavyofungia blog.
mmh wachina hadi denda lao nalo feki! Bado kidogo tutaona shindano la kuzama chumvini!
ReplyDelete