Mambo vipi kaka?
Kuna picha hizi za kuonyesha vijimambo vya dunia tungependa tushee na wadau. Hii ni mashindano ya kupiga denda China. Picha zaidi unaweza ukawapa wadau link hii
http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=728887
THANKS
NIFAHAMISHE.COM TEAM


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Eeh! wanavyoning'inia utadhani matoto vile. Wachina mbona hawakuwa hivyo zamani??

    ReplyDelete
  2. Hahaha! mwisho wa pambano watajikuta wamelowa mate hadi kwenye chupi

    ReplyDelete
  3. Denda hua OK kwenye malove. Lakini utashangaa sisi waafrica sijui huwa tunalionaje. mke na mme wanaweza kukaa mpaka wanakufa bila hata denda la mbali.

    Hawa jamaa nawapongeza. Hata mimi na mme wangu tulikuwa tukila denda kabla ya kioana. tulipooana kitabu kikafungwa.

    ReplyDelete
  4. Ankal vipi? Issue zizizo na tija kwa jamii tia kapuni!!

    ReplyDelete
  5. hawa ni vicheche tu mwenye hakili zake hata fanya mbele za watu.

    ReplyDelete
  6. Kijaluba Mkwere, LINDIMarch 05, 2010

    Natafuta wadhamini kwa ajili ya kuendesha mashindano kama haya hapa nyumbani TZ.
    Kila ninayemfuata anasema hataki kueneza UKIMWI

    ReplyDelete
  7. Mh sisi binadamu! kiss hazina maana tena siku hizi,sasa hivi utasikia kuna mashindano ya kufanya mapenzi,sasa sijui mshindi anapata nini? Mimi uk.

    ReplyDelete
  8. hawa wachina kama hadi sasa wapo jumla BILIONI MOJA NA MILIONI MIA NNE je kwa hali hii si watazaliana na kuwa na idadi ya kutisha kwani hivi sasa wametawanyika kila nchi hapa duniani unawakuta wanafanya kila kazi bila kuchagua du chinese kwa malove mnatisha

    ReplyDelete
  9. tangu china kuanza urafiki na marekani mmekuwa na mambo ya ajabu ajabu tu mnaacha ukomunisti na kuwa wamagharibi tu huko ni kupoteza utamaduni wenu

    ReplyDelete
  10. Hapo midomo na ndimi ni vidonda kwenda kwa mbele!

    ReplyDelete
  11. wachina wa wapi weweee?acha kuzuga watu hapa!!

    china tunayoijua sie ivi?risasi tuu
    mnaleta umarekani na uhuni wao apa?

    ReplyDelete
  12. Hayo madenda ya kichina MACHACHU kama nini...hapo mimi simo maana sijui huwa wanakula vitu gani...!!

    ReplyDelete
  13. wenye vipotabo wanajinoma, wewe kama umechukua bulungutu shauzi zako!!

    ReplyDelete
  14. Mmh! Denda na afya za vinywa vyetu sijui...
    Maadamu umetufahamisha hili tufahamishe pia na watakapofanya mashindano la 69 na 71 uone Mkuchika atakavyofungia blog.

    ReplyDelete
  15. mmh wachina hadi denda lao nalo feki! Bado kidogo tutaona shindano la kuzama chumvini!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...