

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uncle,picha ya pili,mwambie huyo sister mwenye white,second right kwamba mazoezi ni muhimu
ReplyDeletemichuzi,chunga WALLET yako,huko Reading vibaka wengi tu.Sisi wengine tunaogopa hata kwenda huko
ReplyDeleteDuh kweli dunia ndogo, huyu si Francia John? Sijamwona long time tangu nimuache primary school,dar enzi za 1980's. Kumbe ni msanii, big up.
ReplyDeleteki restaurant kichafu jamani! vitamba gani hivyo? angalia vizuri ankal, usafi ni muhimu sana!
ReplyDeleteMzee hapo umetuangusha vipi konooozz!!!!!!
ReplyDeletendo ka mradi ka mzee wa vijisenti?
ReplyDeleteANKAL IS NOT FUN SASA NA HIO FULANA YAANI UMESHINDWA HATA SHATI JEUSI UTOKE SMART KIDOGO BASI FULANA NYINGINE BASI,ACHA UBAHILI WA KIMATUMBI MWISHO UTAWAKIMBIZA WATU KWENYE MIKONOZZ WAKIOGOPA KIKWAPA,JAPO I HOPE HUNUKI KIKWAPA ANKAL.
ReplyDeleteankal pole na kazi ngumu ya kukimbia hapa na pale. Mimi langu ni moja tu hivi watu maisha yakiwashinda ndo wanakuwa wasanii au wanakuwa wanadini? swali langu linalenga dada yetu msanii francia alikuwa mlokole sasa msanii wa nyimbo za dunia tumuelewe vipi dini imemshinda au maisha magumu maana alikuwa hawezifika club enzi za Noel
ReplyDeletemichuzi usinibanie comment yangu, kunawatu niwaasisi ya hii pub huwezi wakosa mfano Riziki anapiga box saa ngapi jamani tuwajibike
ReplyDeleteMdau Reading
Ankali msanii wetu Francia anataka ujana ndo maana kajikondesha kaacha mtoto na mume na kaamua aponde maisha big up dada ponda maisha kifo chaja.
ReplyDeleteMdau Bongoland
Duh huu mji wa kusoma umechoka kweli.... yaani arusha kuzuri mara mia moja. washkaji wa reading pub zenu ni choka mabayaaaaa.
ReplyDeleteEhh ehh!
ReplyDeleteMna hatari nyie, supu ya Pwezaaaaaaaaaaa! Mi sisemi kitu baada ya kuinywa hiyo supu ya Pweeeeeeeeeeeeeezaaaaaaaaaa!
Mdau Mvuvi wa Samaki
Kweli hii kona ya kimatumbi manake hata vitambaa va meza full matumbiz
ReplyDeleteZE FULANA'Z
ReplyDeleteAnkal, supu ya pweza ugenini iepuke kaka isije kukuletea tabu.
ReplyDeletehaters acheni hizo. huyo dada msanii yuko bomba anavutia. acheni ajirushe bado angali mbichi maisha yenyewe haya mafupi. nani kasema mlokole haimbi nyimbo za kidunia? alimradi asichojoe nguo wakati akiimba. michuzi usibanie hii maana umeshabania maoni yangu kabla.
ReplyDeletekwani we ninani katika tanzania hii unavyohutubia we ninani jibu rais ahutubie nawewe uhutubie fx hiyo
ReplyDeleteDuh namwona MC wetu wa Coventry full uswahili, usije tena huku kutuharibia shughuli zetu !!
ReplyDeletePicha ya pili dada mwenye kanzu nyeusi next to you uncle anaitwaje? nimemfananisha na mtu ambae mara ya mwisho nilijuwa kuwa yuko USA na hapa anaonyesha amepata mwili kidogo. jee huyu dada ni Prisca Kamugisha?
ReplyDeleteHongera Francia kumbe na wewe umekuwa msanii.
ReplyDeleteDuuuu sijakuona toka 1980's tukiwa wote pale oysterbay primary school.