Kaka ankal,
Msaada tutani tafadhali !
Natafuta dawa moja ya kichina ilikuwa ikiitwa Miobao.
Inakuwa kwenye form ya fungi, na inaota juu ya chai .
Ilikuwa maarufu sana miaka mwisho ya 90 .
Tafadhali kama kuna mtu anayo kati ya UK ama Bongo, niwekee mstari kwenye email yangu na nitafuatilia.
natanguliza shukrani
IDUMU GLOBU YA JAMII !
Cheers
jkaku55@hotmail.com
Msaada tutani tafadhali !
Natafuta dawa moja ya kichina ilikuwa ikiitwa Miobao.
Inakuwa kwenye form ya fungi, na inaota juu ya chai .
Ilikuwa maarufu sana miaka mwisho ya 90 .
Tafadhali kama kuna mtu anayo kati ya UK ama Bongo, niwekee mstari kwenye email yangu na nitafuatilia.
natanguliza shukrani
IDUMU GLOBU YA JAMII !
Cheers
jkaku55@hotmail.com
Achana na wachina mdogo wangu utavimba matako sasa hivi!
ReplyDeletemwanyika
mimi natumia inaitwa wanbao tea, sasa sina uhakika kama ndio hiyo uliyokusudia au jina limebadilika imetengenezwa kwa kutumia uyoga pia nakunywa kama herbal tea. any nenda kwenye chinese herbal shop utapata. madau uk
ReplyDeleteJamani mjitizame manake kampuni kama hiyo ni nzuri na vizuri mwenzetu katuona na kufikiria katika wakati huu wa "recession" lakini lazima ukweli wa mambo mjue haswa kwa wale ambao watataka hii kazi:
ReplyDelete1. Kontract yako lazima uijue na ikiwezekana mpelekee loya aangalie sio tu ukubaliane nao.
2. usipofanya hivyo unaweza kujikuta unafanya kazi na pesa hupewi sababu kunakuwa hakuna maandikishano ya aina yoyote baina yako na wao.
Wengine wanasema hawa waarabu haya mambo ya sheria ni hawana, ila ni vizuri ukijua mambo yakoje mapema.
Manake kuna jamaa ambae alikuwa ni fundi na dreva wa lori tena navyosema fundi ni fundi kweli lakini alienda na matokeo yake hakulipwa na alitumika vibaya sana, mpaka ilikuwa kama vile kinyama ikafikia muda ikabidi atafute mbinu za kuondoka (wale aliohadiana nao walikuwa hawana habari nae tena) yote hii ni sababu ya vitu kama hivi.
Tunapenda pesa tena ya jasho mwenyewe lakini lazima ukweli wa mambo uwe wazi. Fanya uchunguzi wa nguvu kabla ya kuomba hii kazi na kabla ya kukubaliana nao kwa kitu chochote. Najua, wengi tuna matumiaini ya kubadilisha maisha haswa tukiona nchi kama hii yenye pesa basi tunaona matatizo yetu yote yameisha ila lazima tujifungue macho kwanza kabla ya kufanya chochote. Hizi nchi zina watumwa sana, sawa wana pesa nyingi lakini mara nyingi huwa ni zao wao wenyewe (wazaliwa wa pale) sio tu mtu yoyote ndio maana unakuta hata ukizaa mtoto pale hapewi KARATASI za aina yoyote sababu vitu vyote ni vyao wewe unakuwa kama "punda" tu utafanyishwa kazi wao ndio wale matunda yako.
NAWATAKIA KILA LA KHERI WALE WOTE WATAKAOPATA NA KUOMBA KAZI HII.
N.B: Ni ushauri wa bure tu.