
Fundi na mfanya biashara wa Kiganda, John Kizito mwenye kampuni ya kutengeneza magari, Bingol Engineering Company, kusini mwa London, ni kati ya mashabiki wa mwanamuziki Mtanzania anayewika hapa Uingereza.
“Fab Moses ananikumbusha wananamuziki wa Kiswahili wa zamani. Hapigi makelele wala hachanganyi matusi na maneno ya Kiingereza. Tena kaajaliwa sauti nzuri sana.”
Sifa za Mganda, John Kizito, hazikuishia maneno matupu. Aliweka mkono mfukoni na kuchangia gharama za CD ya kwanza ya mwanamuziki huyu mwenye sauti inayokumbusha akina Marijani, Simba wa Nyika, wana Sikinde, Mbaraka Mwinshehe na Tabora Jazz, wana Segere Matata.
Soma habari zaidi hapa na tazama video na picha hapa:
http://kitoto.wordpress.com/2010/03/07/muziki-wa-nengua-wapamba-moto-uingereza/
Blog: http://www.freddymacha.blogspot.com
Web: http://www.freddymacha.com
Freddy on TV: http://www.ailtv.com
Swahili blog: http://www.kitoto.wordpress.com
Facebook:http://www.facebook.com/freddy.macha
Huyu Fab Moses si alikuwa Muungano dancing Troupe na kina Mzee Small na TupaTupa pale Vijana social club Kinondoni.
ReplyDeleteHongera sana Fab Moses kwa kuendeleza sanaa Uingereza, pia nakumbuka kukuona na pale HydePark London na kina Mzee Rama Masaxaphone mwaka 2008na Jambo Afrika/congo band.
Mdau
Ulaya.