Home
Unlabelled
Mwalimu Nyerere na Kaunda Watunukiwa Nishani za Ushujaa Namibia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteKila leo mnaenda sehemu tofauti ila kuja kwetu hatuwaoni, ndio nini hivyo? wakati sie ndio tungetakiwa kupewa kipaumbele manake ndio tutakaokuwa maraisi wa baadae, njooni na huku tunawaona tu kwenye picha ila hamji.
Mdau north america
Tupo tuliosema mambo ya kuleta uchamachama ughaibuni yanaweza kuleta aibu mkatuona wapuuzi nk.
ReplyDeleteAngalia picha hiyo ya kanga ya kampeni huko Namibia. Kama kuna Mtanzania mwenye kuamini sera za chama cha upinzani hapo kuna mawili: ama awaache CCM na Rais wa CCM au aibuke na yeye na kanga yake nyekundu inayosema 'Chagua Kalumanzira'.
TANZANIA KWANZA!!!
Mbona kampeni za uchaguzi hazijaaanza rasmi, lakini kuna haya makundi ya ccM yanaanza kizazaa?? Au ndio tuseme ccM inakwenda kinyume na sheria za nji?
ReplyDeleteWengine hawajui kutofautisha Utaifa na mambo ya Chama, sasa hilo likanga la nini hapo!
ReplyDeleteNimeamini waTZ wa USA ni kiboko. Mambo ya dizaini hii hayafanyiki jamaa akijaga USA. Ha ha ha!!!!
ReplyDeleteWatanzania wanaoishi Marekani bwana wanajua kuandaa hoja. Watanzania wanaokaa nchi nyingine (UK, pamoja na nchi nyingine za Afrika - India Ikiwemo) wamekaa kiuoga-uoga. Ndio maana wanapewaga ruksa za kumwaga ma-kanga na mabendera. Watu wa US wanajiandaa na hoja na kuomba wakutane na Rais akija huku lakini sijui kuna tatizo gani kwenye jambo hilo. Mhhhh..........
ReplyDelete