

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
brother michuzi usituharibie lugha yetu. mbeba boksi ni mtu yeyote alieko huku na kujipatia riziki yake kwa kufanya kazi yeyote ile iwe nurse, warehouse, muuza duka, mfagiaji na kazi nyenginezo woote hawa kwa lugha yetu sanifu wanaitwa wabeba boksi.
ReplyDeleteBab kubwa kazi nzuri sana
ReplyDeleteingawa sina budi kuwapa hongera kwa jitihada mlizopitisha kuanzisha mradi huu, lakini naona mnafanya utani na vyeo sasa, yaani kadika lenu hilo lina mkurugenzi? are you joking me? sio manager wa duka?
ReplyDeleteUTOKE TANZANIA UJE UFUNGUE KADUKA UK, KWELI UMASIKINI NI AGHALI, KIHINDIHINDI SIO, YOTE HIYO AMTAKI KWENU. SHIDA NINI NAISHI ULAYA, MMM MWEEEEEE. MSHUKURUNI LABOUR KWA KUWAPA MAKARATASI CONSERVATIVE HUYO ANAKUJA MTAKOMA UBISHI, MTASHANGAA KAMA MKO FERRY HIVI
ReplyDeletehongereni sana waafrica wezangu. wezentu wachina wana maduka yao huku ugaibuni na wengi wao wanafanya vizuri sana kwa sababu ya support kutoka kwa wachinese wengine. hao watu mara nyingi wana nunua chakula au vitu vingine kwenye maduka yao tu hata kama hayo maduka yako mbali na wanapoishi. didi wakenya tumeanza kufanya hivyo. hii itafanya tuwe successful.
ReplyDeleteWale wapenda majungu endeleeni tu majungu ila Kumbukeni Marekani imejengwa na wa Jewish na wataliano hivihivi wamejipatia riziki ambazo zimewapa jina nchini kwao na nchini marekani wacheni wenzenu wapate pakula. japo hao niliowataja wapo juu sana ila Watanzania mungu anawasaidia wakuwapinga ni wauza unga tu.
ReplyDeletewewe acha wivu - kwani mtu akijiita Mkurugenzi/ Rais/Meneja wa Duka kuna tatizo gani? Haya basi, tukuite wewe Rais basi kama unataka? Wabongo bwana! Roho za Korosho
ReplyDeleteYaani Michu kama tulikua tunawaza sawa leo!! Na mimi leo kwa mara ya kwanza nimeenda huko East London, yaani kule si London, ni Dar-Kampala-Nairobi manake mtaani ni Kiswahili na Kiganda ndio unakisikia kwa sana.
ReplyDeleteSasa jamaa zangu wa kiGanda wakanipeleka kwenye duka la vitu vya Afrika Mashariki, linaitwa Pascheal's shop (sijakosea spelling, ndivyo linavyoitwa) Hili duka ni la Mganda. Humo ndani sikuamini macho yangu, kuna Unga wa aina mbali mbali wa Azam, bia za Serengeti, Tusker, malapa ya Umoja, Royco, Blue band, dagaa wakavu, magimbi, maparachichi ya ukweli (si huu utani wao wa huku Ulaya) yaani bidhaa kibao za nyumbani.
Hongereni sana waTanzania mnaofanya bidii katika shughuli zenu popote mlipo
KILICHOHARIBU HAPO NI ULEVI TU.
ReplyDeletewamejitahidi saaaana hongera sana mzee dixon bado unakopesha?
ReplyDeletemimi ningekuwa mpiga box uko nisingekubali kupoigwa picha na kuwekwa humu!! kweli shule muhimu
ReplyDeleteAGH mimi nilizania mbeba box ni diaspora yeyote yule. Sikujua shurti ubebe box kupewa jina hilo. I was so out of the class
ReplyDeleteNext time ukija USA uje ututembelee nasisi. Ila wengi wetu tuko low key ...whatever u see iwe off record.
Mimi huwa naenda hapo Bongo Flavour kununua bidhaa mbalimbali na pia kutuma Paundi ££££ zangu mara kwa mara Tanzania tena kwa gharama nafuu sana na ni waaminifu sana, huwa pia nakutana na ndugu zetu wa Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda wengi wanatumia duka hili kutuma Paundi ££££ zao katika nchi zao. Mbali ya yote Bongo Flavour wako karibu sana na Watanzania katika kushiriki katika mambo mbalimbali ya Kijamii. WELL DONE MAMA NA BABA BONGO FLAVOUR - READING NA WAJASILIAMALI WENGINE HAPA UK
ReplyDeleteWeka bidhaa za Tanzania wewe...
ReplyDeleteKama ameanzisha duka ni yeye na ujue huyo ana makaratasi ndo mana anatafuta riziki yake! Hao wanaoponda mara uswazi ni sawa tu lakini wanatamani kufika huko na hawajafanikiwa kupata viza! Acheni kuponda vitu msivyovijua...
ReplyDeleteNAONA UNGA WA IWISA TOKA KWA MADIBA KWELI NGOMA IMEKAA KIBANTU
ReplyDeletejamani hata mtu akijiita mkurugenzi roho inakuuma kwa nini? mtaji wake, biashara yake, bills analipa mwenyewe hajafungiwa wewe unafikiri kuran business uk ni lelemama.anza yako basi tuone.kazi kukimbia bills kwenye nyumba everyday sasa majungu tu umebakiza
ReplyDeleteHongera mama dicky na mzee dicky yote hayo hapo juu yatawatia moyo na soon mtaongeza nyingine.naamini penye mchaga hapawezi kuharibika kitu sawa msee wangu tupo proud kusikia mchaga ana duka ulaya. well done both of you. mkija moshi nitafuteni niwape kitochi.
ReplyDeletewatanzania ndio maana watu wanawaogopa kwa ajili ya maneno, this is 2010 going 2011 you need to change, mambo manyoongea yamepitwa na wakati, huu ni wakati wa kumtafuta mungu kwa sababu hujui kesho utakuwa wapi, andaa mazingira utakayoenda kuishi mungu akiamua kuchukua roho yako leo, ukiona mwenzio amefanikiwa mshukuru mungu na be proud ndio maisha yanavyoenda wapendwa, angalieni wahindi kila sehemu duniani wako nawamesimama kwa miguu yao siyo kwa midomo mbarikiwe
ReplyDeletePunguzeni bei ya hiyo nazi ya 2.99 kwani TESCO hawapo mbali na bei yao ni 1.99. Michuzi usibane hii plz
ReplyDeleteDuka Bomba na Bidhaa zipo. Tatizo nyie watu wa Bongo hamtengenezi bidhaa zenye viwango vya kimataifa. Sasa basi, tunawaomba wasomi wetu ambao hambebi maboksi kama sisi muanze kutengeneza vitu venye kiwango sio kusema tu weka bidhaa za bongo - aweke nini? Maharage ya mbeya kwenye gunia? Huku ulaya bwana vitu vinapimwa sio mambo ya kutandika gunia ukaanza kuuza nyanya. hongera Mdau wa Reading keep it up!
ReplyDeletemungu hakuwaweka uk kwa bahati mbaya anamakusudi, mguu wako utakapokuwa ndio liziki yako ipo, wewe unafikiri ambao wanamaduka hawajaenda shule? i feel sorry for you, be your own boss. I'm proud of you bro keep it up! we love you guys and don't let anyone put you down, work hard as you always do, but usisahu kusali may be iko siku utafungua supermarket
ReplyDeletemungu hakuwaweka uk kwa bahati mbaya anamakusudi, mguu wako utakapokuwa ndio liziki yako ipo, wewe unafikiri ambao wanamaduka hawajaenda shule? i feel sorry for you, be your own boss. I'm proud of you bro keep it up! we love you guys and don't let anyone put you down, work hard as you always do, but usisahu kusali may be iko siku utafungua supermarket
ReplyDeletemungu hakuwaweka uk kwa bahati mbaya anamakusudi, mguu wako utakapokuwa ndio liziki yako ipo, wewe unafikiri ambao wanamaduka hawajaenda shule? i feel sorry for you, be your own boss. I'm proud of you bro keep it up! we love you guys and don't let anyone put you down, work hard as you always do, but usisahu kusali may be iko siku utafungua supermarket
ReplyDeleteHongereni sana.Safari huanza na hatua moja. Hata Mbuyu ilianza kama mchicha
ReplyDeleteMpiganaji mzalendo- Tabora