
Mbalamwezi Beach Club Hotel s a boutique hotel with 6 rooms and one three bedroom apartment converted from private house located on the beach of the Indian Ocean in Mikocheni, Dar es Salaam.The hotel keep the atmosphere of home and is a pleasant place to have a break from long safari or long business trip to Dar es Salaam.
A splendid garden with variety of plants surrounded the hotel is full of birds and butterflies which keep the pleasant atmosphere of nature. Hotel has everything for relaxing after work or long safari : swimming pool, beach, lounge and meeting/ board meeting room for 12 people, bar and restaurant.
The hotel is suitable for tourists or business people who came to Dar for short or long period.





''The hotel is suitable for tourists or bussinness people who came to Dar for shot or long period''
ReplyDeleteWabongo bwana ndo maana hatuendelei, kwahiyo sisi tunaokuja kunywa maji ya Gold na kupata upepo na kuishia haturuhusiwi? au mnaona hatuna uwezo? pambaf!; ndo maana watoa fotokopi wanatengeza hela kuliko nyie; too optimistic.
Hehehehee....sidhani wamemaanisha in that way....midomo hutelezo hata maandiko pia.
ReplyDeleteNi sehemu ya kujirusha kwa wote, the former Malaika / Dar Alive joint....
Big ups kwa walioifungua tena....
I think hiyo inamaanisha hotel and rooms.... but the rest of the Club is open to all and LOOKS GREAT!
ReplyDeleteKumbe ni pale former Malaika? Wow! Full kujirusha weekend hii...
ReplyDeleteNadhani mmeelewa vibaya hicho kiota ni kwa ajili ya watu wote sema pia ni pazuri kwa watu wanaotoka mbali kuja kupumzika kwa mandhari yake...mziki safi, chakula kizuri hasa kuku wao...yaani wewe ukienda pale order kuku choma ...salad mmhhh! sooo nice, unaweza pia ukapeleka familia yako saturday au sunday na wakafurahia sana. Try guys mimi nilikuwa hapo last sunday i enjoyed a lot with my kids...
ReplyDeleteBig up mlioifufua maana ilikuwa inakufakufa....
Kijiografia Mikocheni haipakani na bahari ya hindi.Hapo ni Mchachani.Barabara ya Old b-moyo inapakanisha Mikocheni na mchachani pia mikocheni na kawe.Tuwe makini.
ReplyDeleteAAAA Icha Michuchiiiiiii
ReplyDeleteMambo makubwa mzeiyaaaaa. Yani its a lovely place, Dj Rico is always there for a fine tune of ngomas. food is what you pay for, and the bedrooms are effin' cool. Sasa waungwana tukutaneni pale this weekend, mi nina nyumba ndogo yangu nitakuja nayo turuke madebe, tule halafu tunawaomba wahudumu watubebe kwenda room.......halafu manyundo mpaka kucheeee..
Hapo chacha.......
taratibu tutaelewa hapo mwanawane pametulia kisawa sawa kama vipi bwana Michuzi wewe toa hayo maelezo acha picha tu na jina la eneo ili watu wasijenge maana tofauti au sio waungwana? huyu alieandika hapa lazima ni mrusi maana mh!!!!
ReplyDeletemichzi Futa hayo maneno yanazengua
ReplyDeletejamani mnakumbuka ilipokuwa Malaika club? pembeni ya CIne Club ndio hapo hapo kuna M-EPA amejitokeza ameamua ku-epeka HAPO sio mbaya tunashukru kwa kuweza kutengeneza mazingira ya KUKAMUA hela zetu bila maumivu BIG UP waungwana unajua cha kufanya Mr. Micuzi wewe yafute hayo maelezo yanayoletea maana tofuati kwa jamii then acha picha na direction tuuuu tujue namnaya kufika hapo eneo la TUKIO sawa?
ReplyDeleteNamtikisikia (tikisika) huyo ambaye hajui ninini maana ya tuaristi (mtalii). Kwa ufupi tuaaristi ni mtu yoyote yule. Wengi hudhani kuwa tuaristi ni lazima awe mtu wa kutoka nje ya inji, na tena awe mngunzu (hahaa, mfupa hauna ulimi). Kutalii ni ile hali ya mtu kufanya shughuli kamavile kutembelea sehemu fulani,kwa lengo la kujifurahisha tu wakati ambao sio wa kazi. Yaweza kuwa sehemu maalum ya kihistoria, sehemu yenye kivutio fulani kama misitu, bichi, michezo, milima, na kadha wa kadha. Hivyo huyo ndugu yngu anayelalama bado hajajuwa kuwa yeye pia ni mtaliii, ... na aende kwa haraka sana hapo mbalamwezi. Sidhani kama watamfukuza, kamwe. Labda iwe full buukd yaan! Atangulize mahela tu, kama mngunzu atakuja mbele yake hatapata lifwasi!
ReplyDeleteKITANDA CHA NGUVU ZEBRA CHA KIAFRICA HAPO KINGKONG ANAFANYA VITU VYAKE.
ReplyDeletemimi sioni tatizo lolote lile na mwenye mali ku-target wateja wa aina fulani tu. lazima kuwe na specialization ktk haya mahoteli, tena waende mbali hata ktk vyakula wanavyoserve navyo viwe na specialization[sea food,berbeque,vegetarian].
ReplyDeletemimi nataka kuanzisha hoteli yangu ambayo itakuwa special kwa wateja wa "SHORT-TIME" na wanywa "MAJI YA GOLD". ktk hoteli yangu sikaribishi businesspeople, siwataki kabisa.